Bwana Bongo
Senior Member
- Dec 12, 2021
- 146
- 212
- Thread starter
- #521
na ha
na hawa wanataka kuthibitisha kitu kwa kuona ndo wanasema kinastahili kuwa chakweli sasa unaanza kuwaza kwamba kila kinachoonekana kwa macho ndiyo tuthibitishe cha kweli?watakupasua kichwa watu waongo na wanafiki kama hao, wamejizatiti katika engo iyo iyo eti wao awa amini kwamba hata tukiacha habari za mungu watakwambia wao hawana kitu kina itwa imani imagine huu si upuuzi wa wasiwasi juu ya watu hawa