Kwa wanaoamini uumbaji wa Eden, wanyama wala nyama waliumbwa wakiwa wanakula nyama?

Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden?

Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden?

Mamba alikuwa anakula nini??

Ndege wala nyama na samaki walikuwa wanakula nini?
Hivi viumbe wa baharini na kwenye maziwa kama nyangumi, pomboo, papa n.k nao waliathirika na gharika? Au gharika iliwahusu wanyama wa nchi kavu tu?
 
Kwa Mujibu wa creation facts. Maisha baada ya dhambi na ardhi kulaaniwa hakuna aliyewahi kuyaona qmbaye yuko hai ni Adam na Mkewe tu. Sasa unapotumia unachooma sasa kuelezea kisichoonekana lazima ujipoyoshe.
 
Majani nayo si ni viumbe hai?
 
Kwani mimea na matunda si viumbe hai pia navyo vinahitaji kuishi?
 
Nani kasema kulikuwa na kitu kinaitwa " nyama"? Inawezekana hata kula ilikuwa hawali ila wanaenjoy tu!
 
Nani kasema kulikuwa na kitu kinaitwa " nyama"? Inawezekana hata kula ilikuwa hawali ila wanaenjoy
Mtu ameanza kula nyama baada ya gharika. Nyama haikuwahi kuwa chakula kwa mtu au mnyama katika ile blueprint ya creation
 
Kwamba nyasi na mimea ndio ilikuwa pale ili iweze kuliwa ? Kwamba ilishindikana kuwa na machinery isiyohitaji Nishati (Chakula) ?
 
Kwamba nyasi na mimea ndio ilikuwa pale ili iweze kuliwa ? Kwamba ilishindikana kuwa na machinery isiyohitaji Nishati (Chakula) ?
 
Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden?

Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden?

Mamba alikuwa anakula nini??

Ndege wala nyama na samaki walikuwa wanakula nini?
Kwani kwenye biblia imeandikwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…