Kwa wanaohitaji Line za Safaricom zimefika Tanzania

Upo mkoa gan I'll tuzipate ?
 
Alietuloga kafa tayari,pale BOT kuna uhitaji mkubwa sana wa vijana kwa ajili ya mapinduzi ya kiteknolojia.
Nahitaji hii line mkuu nakupataje chief niko dsm vip contact zako nakuptaje
 
1) Hizi simcard zina operate Tanzania?
2) Naweza ku transfer hela kwenda Skrill?
 
Naomba kuuliza swali about paypal.. Nipo Tanzania so nikifungua account paypal nieke location yangu nipo nchi gani, Kenya au TZ?
Sababu nataka kuunga paypal with Safaricom M-PESA
 
Naomba kuuliza swali about paypal.. Nipo Tanzania so nikifungua account paypal nieke location yangu nipo nchi gani, Kenya au TZ?
Sababu nataka kuunga paypal with Safaricom M-PESA
Ikiingia kwenye site ya paypal chini kabisa utaona bendera ya Tanzania toa weka ya Kenyà
 
So hii inaitwa SIM CARD LAUNDERING au tuitaje?
 
mkuu hizi line za SafariCom zimesajiliwa M_pesa ya huko kbisa au vipi? Pia naomb kujua unapoiweka kwenye Simu inashika vipi network wakati huku TZ hamna minara ya safaricom? ....natanguliza shukrani
 
mkuu hizi line za SafariCom zimesajiliwa M_pesa ya huko kbisa au vipi? Pia naomb kujua unapoiweka kwenye Simu inashika vipi network wakati huku TZ hamna minara ya safaricom? ....natanguliza shukrani
Mkuu bila m-pesa hazingekua na maana,ziko full registration, na popote inapopatikana tiGO, Halotel na Vodacom na Safaricom utaipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…