Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Nyie mnanunua line mjiulize haya kabla ya maamuzi+
1. zimesajiliwa kwajina gani au zinasajiliwa vp?
2. Kama zimesajiliwa tayari Hilo jina NI lako vp siku mamlaka husika wakikutuhumu Hilo jina lililosajiliwa limefanya uhalifu na wanaamini n wewe?
3. Kama mnaitumia kwa matumizi ya kifedha na line imekuja ishasajiliwa tayari huoni Kuna uwezekano wa kupoteza pesa zako baada ya kudeposit pesa kwenye hyo lain
Haya kikwete alisema zakuambiwa changanya nazako
MAGUFULI naye alisema za mbayuwayu changanya nazako
Sawa,hata paypal ya TZ unafanya malipo pia je Inapokea pesa?
Kwa sehemu ambayo haina option ya mastercard je? Kuna paypal, skrill n.k utapokeaje pesa?
[emoji57][emoji57] kinachonifurahisha wakati wewe unajiuliza huku line zimeisha,na zinakuja nyingine...ww endelea kujiuliza tu,leta tena ushauri mwingine
Hapana pesa unaipeleka MasterCard ndio unaipeleka kwenye account ya paypalKwa sehemu ambayo haina option ya mastercard je? Kuna paypal, skrill n.k utapokeaje pesa?
ni uzi wa TCRA kukupata pia.Jamani huu uzi sio wa kutafutana,ni wa wanaotaka line tu.... samahani kwa hilo
Mie siwez risk pesa zangu kizembe hzo transactions nafanya [emoji542] popote pale na saa yoyote ile bila shida Wala kikwazo.
Ungekuwa smart ungejibu maswali yangu vizuri ili wateja wako wakuelewe ila unavyoanza kuhamisha magoli unawatia wasiwasi wanaotaka kukuchangia binafsi naelewa utaratibu wa kupata line za Kenya ndo Mana nikawa nakuuliza kuhusu usalama wa account ya M-Pesa kwenye hzo line.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hizi ndo fursa zinazotakiwa,hongera sana mkuu, achana na wachawi aanaopiga kelele
Boy link ya Telegram plzHabari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika na mpaka sasa zimebak 7 tu(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya Ksh 20.
Kama upo mkoa utatumiwa kwa gharama zako.
Kwa wale wanaohitaji tuchekiane 0625547181 au telegram @TomaaMireni.
Kama bado hujajua kazi yake kwa hapa Tanzania njoo telegram group smatskills
Kwa wale ambao tayari mnatumia karibuni kuelimisha wengine. Asanteni
wakati mwenzio anapokea hela in 2 hours wewe unasubiri siku ngapi?Mie siwez risk pesa zangu kizembe hzo transactions nafanya [emoji542] popote pale na saa yoyote ile bila shida Wala kikwazo.
Ungekuwa smart ungejibu maswali yangu vizuri ili wateja wako wakuelewe ila unavyoanza kuhamisha magoli unawatia wasiwasi wanaotaka kukuchangia binafsi naelewa utaratibu wa kupata line za Kenya ndo Mana nikawa nakuuliza kuhusu usalama wa account ya M-Pesa kwenye hzo line.
Sijawahi lakini najua how it works vizuri kabisa, And over a very long time nilikuwa natafuta line ya safaricom... So mpaka hapa issue yangu ishakuwa solved
Hizo ID ni za nani wanazo tumia?Inakuaga imesajiriwa kabisa full registration kule kule Kenya tena kwa National ID, Na number za ID unapewa/zmeandikwa kwenye registration form baada ya kukamilisha usajiri wake.. Swala la kutumia WhatsApp kusumbua watu hii ni mtu mwenyewe na matatizo yake au akiri zake! Sidhani kama ndio matumizi yake hayo..
Mkuu nakushauri nenda pale vodacom wakakupe maelezo mazuri jinsi ya kutumia mpesa MasterCard ukishafahu hilo muulize akuelekeze jinsi ya kudeposit na withdraw pesa kutoka mpesa MasterCard kwenda PayPal,Sijawahi lakini najua how it works vizuri kabisa, And over a very long time nilikuwa natafuta line ya safaricom... So mpaka hapa issue yangu ishakuwa solved
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka hapa hakuna kitu unachoweza kunifundisha. Kwa taarifa yako hizo mastercard za mpesa hazipokei hela zinatoa tu,Mkuu nakushauri nenda pale vodacom wakakupe maelezo mazuri jinsi ya kutumia mpesa MasterCard ukishafahu hilo muulize akuelekeze jinsi ya kudeposit na withdraw pesa kutoka mpesa MasterCard kwenda PayPal,
Kutokujua kwako haaminishi kuwa haiwezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mimi nimekuelekeza tu kwa wahusika sahihi maana mpesa MasterCard ndio naitumia kwa manunuzi mengi ya online na PayPal naitumia nishafanya hivyo nikafanikiwaMpaka hapa hakuna kitu unachoweza kunifundisha. Kwa taarifa yako hizo mastercard za mpesa hazipokei hela zinatoa tu,
Pia kwa tanzania huwezi kuwithdraw hela kutoka paypal. Huo ndiyo ukweli.
Hiyo ishu ya mpesa kenya kupokea hela kutoka skrill na paypal naifahamu vizuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi pokea pesa na hiyo mastercard yako??? tuachane na kulipia maana kama kulipia nadhani nina card karibu ya kila bankMkuu Mimi nimekuelekeza tu kwa wahusika sahihi maana mpesa MasterCard ndio naitumia kwa manunuzi mengi ya online na PayPal naitumia nishafanya hivyo nikafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app