jailos mrisho
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 647
- 1,360
Elimu mbovu imekuja kipind cha ndalichako au? Ubovu ulianzia enz za jk!! Hivyo hupaswi kumlaumu ndalichako, labda kama una agenda za madrasa mana huwa mnapiga vita toka enzi akiwa katibu mkuu wa hiyo wizara, jk kuona maneno yamekuwa mengi kutoka madrasa ikabdi amtoe tu.Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchum...
Inabidi watu kama hawa baadhi ya nchi zingine unawaweka kizuizini yaani unafreez elimu yake maana FOCUS za uongozi wake hazina tija kwa nchiPole sana kijana,, naona kabisa jinsi unavyoona giza mbele yako.
Hili zigo unalomtwisha Ndalichako si zigo lake peke yake. Mfumo mzima wa serikali unawajibika katika hili....
Mkuu kama hufahamu kabla ya kupata kuteuliwa kuwa waziri amekua KATIBU MKUU WIZARA YA ELIMU zaidi ya miaka 20 yupo pale..ndio Manana tnataka watu wapya na wenye focus mpyaElimu mbovu imekuja kipind cha ndalichako au? Ubovu ulianzia enz za jk!! Hivyo hupaswi kumlaumu ndalichako, labda kama una agenda za madrasa mana huwa mnapiga vita toka enzi akiwa katibu mkuu wa hiyo wizara, jk kuona maneno yamekuwa mengi kutoka madrasa ikabdi amtoe tu.
Ndalichako ni mkongwe kwenye tasnia ya elimu toka enzi za mkapa . Kumbuka Ndalichako alikuepo katibu mkuu Baraza la mitihani necta. Kukuosekana Kwa Ajira ni kosa la kiongozi wa juu kabisa . Ukosekano wa viwanda . Hamna Ajira bila viwandaKwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi
Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu sio kitu kinachoweza kumkomboa mtu kiuchumi au
Ajira inatolewa na sekta binafsi hata na serikali.miaka ya nyuma Ajira ilitolewa mpaka darasa la Saba Ila sasa Hadi graduate hapati Ajira . Laumu viongizi walioshindwa kaanda mfumo wa Ajira kwa graduate sMkuu namlaumu kwa sababu amekaa pale zaidi ya miaka 20 isiyokua na faida kwa nchi.
Mkuu ebu taja uko kwenye ajira?Kwanini usomee kitu kisicho na ajira
Kama soko la ajira lipo sehemu fulani ni bora kusomea huko .yaana unapoteza miaka mingi kwa BAHATI NASIBU YA HAKUNA ?
Shida mkuu tumeweka mipaka katika fikra zetu kwamba kazi ya msomi ni hii na hii asiye soma ni hii na hii kitu ambacho sio sahihi kabisa.Lengo la elimu ni kutoa ufahamu uweze ku ya master mazingira Sasa bongo tunalaumiana bure ni vile ni magoigoi wa kutazama fursa ukichangia na ujamaa ulitulemaza Nigeria Kuna wasomi wengi kiasi PhD holder ni madereva na Ili kutatua changamoto ya ajira wameamua kusambaa duniani ku grad opportunities na hawachagui kazi.
Ajira inatolewa na sekta binafsi hata na serikali.miaka ya nyuma Ajira ilitolewa mpaka darasa la Saba Ila sasa Hadi graduate hapati Ajira . Laumu viongizi walioshindwa kaanda mfumo wa Ajira kwa graduate s
Pakianzishwa mifumo yenye kutoa ujuzi wa DO IT YOURSELF na pakawa na linki ya mitaji kwa wasomi watapunguza kundi hili linalopoteza muda kisa ELIMUAjira inatolewa na sekta binafsi hata na serikali.miaka ya nyuma Ajira ilitolewa mpaka darasa la Saba Ila sasa Hadi graduate hapati Ajira . Laumu viongizi walioshindwa kaanda mfumo wa Ajira kwa graduate s
Kwa maelezo yako shida iko wapi kwenye mfumo wa elimu au kwa wahitimu?Kipimo cha "thamani" ujuzi itumike kulingana na muda uliotumia
Mfano unasoma miaka mingi kupata ujuzi basi utumie maisha yako katika ujuzi huo sio kutapatapa
Na hii sio kila mtu anaweza ndio maana inatakiwa kwenye mfumo wa elimu wakae watu smart na kwa kuanza tuna angalia aliyop juu amefanikiwa katika hili?
Ugumu wa maisha upo kwa wote maana tanzani ni miongoni mwa nchi maskini.Kwa maelezo yako shida iko wapi kwenye mfumo wa elimu au kwa wahitimu?
na je wenye degree ndo wanao pitia maisha magumu Sana kuliko wasio Soma
Una chuki binafsi na Ndalichako wewe sio bure. Hiyo wizara ishaongozwa na watu kibao kuanzia akina shukuru kawambwa, mungai , etc katika chuki za binafsi hautafanikiwaPakianzishwa mifumo yenye kutoa ujuzi wa DO IT YOURSELF na pakawa na linki ya mitaji kwa wasomi watapunguza kundi hili linalopoteza muda kisa ELIMU...
Mkuu sina chuki na mama yangu ndalichako walikuepo hao wote ila kwa vipindi tofaouti nalawama lazima zilikuepo kwa vipindi vyao vya uongozi ila kwa sasa huwezi kusema hawafai maana hawapo, kwa kuanza tuna anza na iliyekuepo kama tuna taka kuaona mbeleUna chuki binafsi na Ndalichako wewe sio bure. Hiyo wizara ishaongozwa na watu kibao kuanzia akina shukuru kawambwa, mungai , etc katika chuki za binafsi hautafanikiwa
Uko sahihi lengo kuu la elimu la kwanza ni kufuta ujinga na kuwezesha matumizi ya akili, mwenye elimu na maarifa hata akifanya biashara anapiga hatua kuliko asiye na shuleShida mkuu tumeweka mipaka katika fikra zetu kwamba kazi ya msomi ni hii na hii asiye soma ni hii na hii kitu ambacho sio sahihi kabisa.
Amesahau na Waziri Mlugo alisemaga Tanzania ni muunganiko wa Zanzibar na ZimbwabweUna chuki binafsi na Ndalichako wewe sio bure. Hiyo wizara ishaongozwa na watu kibao kuanzia akina shukuru kawambwa, mungai , etc katika chuki za binafsi hautafanikiwa
Wewe mwenyewe inaonekana bado hunauelewa, huhui kazi za waziri na nafasi ya mwanafunzi, nikuulize maswali ukijibu then nitakupa majibu:Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi
Baadaya ya muongo mmoja kupitia, hali iliyopo sasa KWA TANZANIA SIO DUNIANI KOTE elimu sio kitu kinachoweza kumkomboa mtu kiuchumi au
Kwa kosa lipi mkuu kwani mtaani mambo si yanaonekana mkuu WASOMI kibao na hawana ndoto walizozitimiza baada ya kukuta hakuna mazingira ya ndoto zao nakuamua kuishi kwa nature iliyopo na amepoteza muda na madeni juuMind your tongue! " You will sleep inside "
Japo elimu ya Tanzania ni timing bomb ila sioni hapo Dalichako anahusika je, mfumo wa elimu wa Tanzania niwasiku nyingi na umeidwa kisiasa ndo maana watu kama Ndalichako wanaongoza hiyo wizara bila matatizo kwa sabb nawanyewe ni wa bomvu, ni watu wakutoa matamko tu.Kwa muongo mmoja uliopita umuhimu wa elimu ulikuwa na thamani sana kwa vijana maana thamani yake iliendana na mazingira yaliyokuepo na watu wengi walitamani kupata elimu ili waweze kujikomboa kiuchumi...