Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Usijali mimi nitakupatia.
Mungu atakupigania shemeji yanguCorona aisee.
Inaniwazisha sana, maana mishe zangu hata kuikwepa siwezi, naomba isije niliko tu.
Hawa ni watu ambao wameshiriki mauaji mbali mbali, wengine ndio kama tabia yao.
Hao hao unaowasoma kwenye novel Don. Au wa kwenye novel ni wa "kufikirika"?Hawa wanapatikana nchi zilizoendelea sana sana.
Sana nawasoma kwenye novel tu mimi.
Daah kama hata wewe hujui mi nitajua kweli? Alikuwa anaumwa?Hivi dogo anaendeleaje?
Maana sijui hata amejikarantini wapi.
Hao hao unaowasoma kwenye novel Don. Au wa kwenye novel ni wa "kufikirika"?
Ngoja nikusikikize wewe maana zaidi ya kwenye movie siwajui, na movie ni maigizo ukweli ni mdogo.Usijali mimi nitakupatia.
Ila unawajua jua Pendael ili na wewe unipe ulichonacho?
Swali gumu kidogo.Wanaweza kuwa wa ukweli, kwani wewe unachotaka kujua kuhusu wao ni kipi hasa?
Daah hata sijui aiseeHapana, ni self discipline tu. Alisema anajikarantini kwa muda. Nikajua ndugu utakuwa na taarifa zake.
Mwee! 2000 iniweke hapa hadi asubuhi! Labda lakiNight Owls Ausio
Tuwekeane dau Nani anaweza kutoboa Mpaka Asubuhi, Naweka vocha ya Buku 2
Mwenye ubavu aje aweke dau lake [emoji41][emoji41][emoji41]
Hapana nalala na huyo kwenye avatar
Swali gumu kidogo.
Nataka tuu kusimuliwa kila kitu. Hususani ambaye unaona alikuwa hatari zaidi.
Kwenye movie nadhani wanaigiza story ya kweli ya muhusika ambaye ni serial killer.Ngoja nikusikikize wewe maana zaidi ya kwenye movie siwajui, na movie ni maigizo ukweli ni mdogo.
Lakini ukweli wapo watu wanaopenda kuona watu wengine wakifa na nikama starehe yao. Mojawapo ni wagiriki.
Sent using Jamii Forums mobile app