Kwa wanaopenda kuchat usiku tukutane hapa

Kwa wanaopenda kuchat usiku tukutane hapa

Ngoja nikusikikize wewe maana zaidi ya kwenye movie siwajui, na movie ni maigizo ukweli ni mdogo.
Lakini ukweli wapo watu wanaopenda kuona watu wengine wakifa na nikama starehe yao. Mojawapo ni wagiriki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye movie nadhani wanaigiza story ya kweli ya muhusika ambaye ni serial killer.
Ukitaka kuwajua inabidi ufuatilie mtandaoni mmoja mmoja, usome.
Mimi napenda kusoma habari zao kwa sababu huwa nabaki na mshangao mkubwa sana wa kujiuliza kama kuna "aina mbili za binadamu au lah".
 
Back
Top Bottom