Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Kila mmoja ana sababu yake ya kuua.Ooh, halafu nyingi ni za wanaume kuua wanawake. Ni kwa nini?
Hebu nitajie mmoja kisha nikwambie kwanini anaua wanawake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mmoja ana sababu yake ya kuua.Ooh, halafu nyingi ni za wanaume kuua wanawake. Ni kwa nini?
Lete nipime kina nilaleEmu kojoeni mlale
Kila mmoja ana sababu yake ya kuua.
Hebu nitajie mmoja kisha nikwambie kwanini anaua wanawake.
Daah,Night Owls Ausio
Tuwekeane dau Nani anaweza kutoboa Mpaka Asubuhi, Naweka vocha ya Buku 2
Mwenye ubavu aje aweke dau lake [emoji41][emoji41][emoji41]
Naweka jiwe 2, 200k
Mbona unakeshaga Unadinyana usiku kucha na hupati hela[emoji13][emoji38]
Kwenye movie nadhani wanaigiza story ya kweli ya muhusika ambaye ni serial killer.
Ukitaka kuwajua inabidi ufuatilie mtandaoni mmoja mmoja, usome.
Mimi napenda kusoma habari zao kwa sababu huwa nabaki na mshangao mkubwa sana wa kujiuliza kama kuna "aina mbili za binadamu au lah".
Lol, nimeikumbuka.Mimi siyo mtaalamu kwenye hiyo field, na naomba nisiingie kwa sababu siyo field ninayotamani kuijua.
Halafu wewe nakumbuka post yako moja hivi kuhusiana na fantasy (au kitu kama hicho) ya mass destruction.
Dah ndio nishakosa watu wa kupiga nao strory[emoji1787].Isije kua unatafuta experience ya ku kille mtuu maan sio kwa kutaka kujua hivyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuhizi unakitwanga kiswahiliDah ndio nishakosa watu wa kupiga nao strory[emoji1787].
Acha nikapike.
Lol, nimeikumbuka.
Itakuwa hizi ndio zinanipelekea ndoto zangu za mchana zinakuwa vile?
Kwenye movie nadhani wanaigiza story ya kweli ya muhusika ambaye ni serial killer.
Ukitaka kuwajua inabidi ufuatilie mtandaoni mmoja mmoja, usome.
Mimi napenda kusoma habari zao kwa sababu huwa nabaki na mshangao mkubwa sana wa kujiuliza kama kuna "aina mbili za binadamu au lah".
Ndio muda huu.Ulikua wapi mda ote unapika sahivi [emoji40]
Jamani hata mwanzo nilikuwa naandika kiswahili labda ulikuwa unanikuta kwenye mada ambazo lugha ni kingereza.Sikuhizi unakitwanga kiswahili
Siwezi kuua hata mende na mjusi. Ni ngumu kufika huko kwenye kuchinja watu.Yes; movies, documentaries, na kusoma aina fulani ya tabia kwa kipindi kirefu inakupa imaginations fulani za kutaka practice.
Ingawa najua kwa mtu wa aina yako ni mawazo tu na hayatakaa yawekwe kwa vitendo
Dah ndio nishakosa watu wa kupiga nao strory[emoji1787].
Acha nikapike.
Umeelezea vizuri sana.Bin adam tupo wa aina mbali mbali japo tumetoka kwa mtu mmoja Adam.
Kila anaezaliwa huwa na hali moja na yeyeto aliezaliwa.
Hali hubadilika kulingana malezi makuzi na mapito.
Mtu anaweza kuwa mwema kwa kiasi kikubwa ila akabadika kwa namna isioelezeka kutokana na matendo mabaya aliofanyiwa.
Vikundi vya kijamii ama vya kidin au vya kiimani pia huweza kumbadilisha mtu na kuwa muuwaji.
Aina za kazi kama askari muwindaji nk pia huweza kumbadalisha mtu.
Lakini mwanzo wa binadamu huwa ni mwema sana ila mazingira,hali,na watu humbadilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana hata Mimi nimeona unaweza kukaa na kula na kipofu vizuri tu.Jamani hata mwanzo nilikuwa naandika kiswahili labda ulikuwa unanikuta kwenye mada ambazo lugha ni kingereza.
Aah, sawa.Hawa ni watu ambao wameshiriki mauaji mbali mbali, wengine ndio kama tabia yao.
M kathias huyo binti umeandia baada ya juyu Tkach kuhukumiwa kufungo cha maisha kuna binti alimpenda na kufunga ndoa na wakapata na mtoto.Aah, sawa.
Kuna mmoja huko USSR na baadae Ukraine, aliitwa @Serhiy Tkach.
Huyo alipendelea kuua wanawake kati ya umri wa miaka 8 hadi 18.
Kwanza alikuwa akibaka, halafu anaondoa uhai, mwisho anaanza kuzichezea sex parts za maiti.
Katika maisha yake aliwahi kufanya kazi kama mwanausalama(polisi) kwenye kitengo cha uchunguzi wa uhalifu.
Hii ilimsaidia kukwepa kukamatwa.
Wanaume wengi walikamatwa kutokana na matukio yake.
Siku anakamatwa ilitokana na yeye kuhuzuria mazishi ya binti ambae alimuua yeye.
Moja kati ya sababu alizozitoa kwanini alikuwa anafanya unyama huo.
Alidai alifanya hivyo kwa kuwa aliwahi kukataliwa na wanawake kimapenzi.
Sababu nyingine alikuwa anataka kuwashinda serial killers wengine.
Maajabu zaidi ni baada ya huyo mzee kuhukumiwa kifungo cha maisha.
Kuna binti wa miaka 16, alitokea kumpenda mpaka wakafunga ndoa na kupata mtoto.
Yule binti alivyohojiwa alikiri kumpenda mzee huyo, na kama ingetokea wangekutana kabla alikuwa tayari kumsaidia kubeba maiti kwenda kuzitupa, huku jamaa akiendelea kuua.
Yeye mwenyewe alidai ameua zaidi ya wanawake 100. Ila alihukumiwa kwa kuua wanawake 37.
Sent using Jamii Forums mobile app