GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Walifunga ndoa jamaa akiwa jela.M kathias huyo binti umeandia baada ya juyu Tkach kuhukumiwa kufungo cha maisha kuna binti alimpenda na kufunga ndoa na wakapata na mtoto.
Itakuwa ni kabla ya kuhukumiwa sio? Maana kama ni baada iliwezekanaje?
Nimependa sababu yake ya pili, alikuwa anaua ili awashinde wenzake. Alitaka awe kinara. Ila huyo dada kajitoa mhanga kweli, kuna serial killer mmoja nimemsahau ila kuna mdada naye alimpenda kwa sababu ya mambo yake ya kuua na wakaoana.
Iliwezekana kwa sababu, utaratibu wa magereza uliruhusu jamaa kupata haki yake.
Actually, huyo binti alimpenda baada ya jamaa kuwa anaonyeshwa kwenye vyombo vya habari.
Akaanza kumtembelea , mwisho wa siku ikawa hivyo.
Sababu mojawapo, huyo binti aliyoitoa. Ni kutokuwa na ushindani kutoka kwa wanawake wengine. Kwa sababu wengi walimuogopa.
Sent using Jamii Forums mobile app