Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Fuatilia channel ya Investigation Discovery utakuta na psycho wa kila aina.
Kwa kuangalia kwangu nimeona wengi hasa wanawake wanafanya mauaji sababu ya insurance.
Kwa kuangalia kwangu nimeona wengi hasa wanawake wanafanya mauaji sababu ya insurance.
Hawa ni watu ambao wameshiriki mauaji mbali mbali, wengine ndio kama tabia yao.