Kwa wanaopenda kuchat usiku tukutane hapa

Kila mmoja ana sababu yake ya kuua.
Hebu nitajie mmoja kisha nikwambie kwanini anaua wanawake.

Mimi siyo mtaalamu kwenye hiyo field, na naomba nisiingie kwa sababu siyo field ninayotamani kuijua.

Halafu wewe nakumbuka post yako moja hivi kuhusiana na fantasy (au kitu kama hicho) ya mass destruction.
 
Isije kua unatafuta experience ya ku kille mtuu maan sio kwa kutaka kujua hivyo!
Kwenye movie nadhani wanaigiza story ya kweli ya muhusika ambaye ni serial killer.
Ukitaka kuwajua inabidi ufuatilie mtandaoni mmoja mmoja, usome.
Mimi napenda kusoma habari zao kwa sababu huwa nabaki na mshangao mkubwa sana wa kujiuliza kama kuna "aina mbili za binadamu au lah".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol, nimeikumbuka.
Itakuwa hizi ndio zinanipelekea ndoto zangu za mchana zinakuwa vile?

Yes; movies, documentaries, na kusoma aina fulani ya tabia kwa kipindi kirefu inakupa imaginations fulani za kutaka practice.

Ingawa najua kwa mtu wa aina yako ni mawazo tu na hayatakaa yawekwe kwa vitendo
 
Bin adam tupo wa aina mbali mbali japo tumetoka kwa mtu mmoja Adam.

Kila anaezaliwa huwa na hali moja na yeyeto aliezaliwa.
Hali hubadilika kulingana malezi makuzi na mapito.
Mtu anaweza kuwa mwema kwa kiasi kikubwa ila akabadika kwa namna isioelezeka kutokana na matendo mabaya aliofanyiwa.

Vikundi vya kijamii ama vya kidin au vya kiimani pia huweza kumbadilisha mtu na kuwa muuwaji.

Aina za kazi kama askari muwindaji nk pia huweza kumbadalisha mtu.

Lakini mwanzo wa binadamu huwa ni mwema sana ila mazingira,hali,na watu humbadilisha.
Kwenye movie nadhani wanaigiza story ya kweli ya muhusika ambaye ni serial killer.
Ukitaka kuwajua inabidi ufuatilie mtandaoni mmoja mmoja, usome.
Mimi napenda kusoma habari zao kwa sababu huwa nabaki na mshangao mkubwa sana wa kujiuliza kama kuna "aina mbili za binadamu au lah".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes; movies, documentaries, na kusoma aina fulani ya tabia kwa kipindi kirefu inakupa imaginations fulani za kutaka practice.

Ingawa najua kwa mtu wa aina yako ni mawazo tu na hayatakaa yawekwe kwa vitendo
Siwezi kuua hata mende na mjusi. Ni ngumu kufika huko kwenye kuchinja watu.
 
Bin adam tupo wa aina mbali mbali japo tumetoka kwa mtu mmoja Adam.

Kila anaezaliwa huwa na hali moja na yeyeto aliezaliwa.
Hali hubadilika kulingana malezi makuzi na mapito.
Mtu anaweza kuwa mwema kwa kiasi kikubwa ila akabadika kwa namna isioelezeka kutokana na matendo mabaya aliofanyiwa.

Vikundi vya kijamii ama vya kidin au vya kiimani pia huweza kumbadilisha mtu na kuwa muuwaji.

Aina za kazi kama askari muwindaji nk pia huweza kumbadalisha mtu.

Lakini mwanzo wa binadamu huwa ni mwema sana ila mazingira,hali,na watu humbadilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelezea vizuri sana.
Mazingira anayokulia mtu, au mambo anayoyapitia eg manyanyaso + imani humbadilisha mtu. Abadilike awe mwema au abadilike awe hatari.
 
Hawa ni watu ambao wameshiriki mauaji mbali mbali, wengine ndio kama tabia yao.
Aah, sawa.

Kuna mmoja huko USSR na baadae Ukraine, aliitwa @Serhiy Tkach.

Huyo alipendelea kuua wanawake kati ya umri wa miaka 8 hadi 18.
Kwanza alikuwa akibaka, halafu anaondoa uhai, mwisho anaanza kuzichezea sex parts za maiti.

Katika maisha yake aliwahi kufanya kazi kama mwanausalama(polisi) kwenye kitengo cha uchunguzi wa uhalifu.
Hii ilimsaidia kukwepa kukamatwa.

Wanaume wengi walikamatwa kutokana na matukio yake.
Siku anakamatwa ilitokana na yeye kuhuzuria mazishi ya binti ambae alimuua yeye.

Moja kati ya sababu alizozitoa kwanini alikuwa anafanya unyama huo.

Alidai alifanya hivyo kwa kuwa aliwahi kukataliwa na wanawake kimapenzi.
Sababu nyingine alikuwa anataka kuwashinda serial killers wengine.

Maajabu zaidi ni baada ya huyo mzee kuhukumiwa kifungo cha maisha.

Kuna binti wa miaka 16, alitokea kumpenda mpaka wakafunga ndoa na kupata mtoto.

Yule binti alivyohojiwa alikiri kumpenda mzee huyo, na kama ingetokea wangekutana kabla alikuwa tayari kumsaidia kubeba maiti kwenda kuzitupa, huku jamaa akiendelea kuua.

Yeye mwenyewe alidai ameua zaidi ya wanawake 100. Ila alihukumiwa kwa kuua wanawake 37.

M kathias huyo binti umeandia baada ya juyu Tkach kuhukumiwa kufungo cha maisha kuna binti alimpenda na kufunga ndoa na wakapata na mtoto.

Itakuwa ni kabla ya kuhukumiwa sio? Maana kama ni baada iliwezekanaje?

Nimependa sababu yake ya pili, alikuwa anaua ili awashinde wenzake. Alitaka awe kinara. Ila huyo dada kajitoa mhanga kweli, kuna serial killer mmoja nimemsahau ila kuna mdada naye alimpenda kwa sababu ya mambo yake ya kuua na wakaoana.
 
Back
Top Bottom