Hawa ni watu ambao wameshiriki mauaji mbali mbali, wengine ndio kama tabia yao.
Sawa Mrs Van nitafuatilia. Vipi wewe huwa unafuatilia?Fuatilia channel ya Investigation Discovery utakuta na psycho wa kila aina.
Kwa kuangalia kwangu nimeona wengi hasa wanawake wanafanya mauaji sababu ya insurance.
Kuna kipindi nilikua naifuatilia sana siku hizi nimeacha naogopa tena. Viko vipindi tofauti unaweza usiamini mtu.Sawa Mrs Van nitafuatilia. Vipi wewe huwa unafuatilia?
Yupo huyu alikuwa anaitwa Jeffrey Dahmer. Huyu alikuwa anaua wanaume, na anakula sehemu za mwili na mabaki ya mwili anayahifadhi na anayatumia kufanya mapenzi.wanakuwa na sababu zisizo na mashiko yaani!
kuna mmoja huko india yeye nae alikuwa akiua wasichana wazuri na sababu yake kuu ni kwamba hapendi vitu vizuri na vinavyopendeza, hata maua alikua akata kata kisa tu ni mazuri. sababu ya hayo yoote na watu wazuri waliwahi kuwafanyia mabaya!!!!!!!!
Emu kojoeni mlale
Story nyingine zinaogofya yaani. Kuna huyu anaitwa Albert fish yeye alikuwa anabaka, kuua na kula nyama za watoto.Kuna kipindi nilikua naifuatilia sana siku hizi nimeacha naogopa tena. Viko vipindi tofauti unaweza usiamini mtu.
daaah! mpaka inatisha yaani.Yupo huyu alikuwa anaitwa Jeffrey Dahmer. Huyu alikuwa anaua wanaume, na anakula sehemu za mwili na mabaki ya mwili anayahifadhi na anayatumia kufanya mapenzi.
Kipindi chake cha udogo alikuwa anapenda sana wanyama waliokufa. Akikuta mizoga iliyokufa pembeni ya barabara anaichukua anaipeleka nyumbani na kuipanga mahali. Anaichuna ngozi na kubadua nyama kwenye mifupa ila ibaki mifupa tuu. Kisha anaipanga sehemu basi ndio furaha yake.
Huyu alikuwa ni gay yaani anataka kujihusisha kimapenzi na wanaume. Na alianza mauaji akiwa na miaka 18.
Sasa huyu alikuwa anaua wanaume na asilimia kubwa ya wanaume aliokuwa anawaua walikuwa ni gays. Na alikuwa anaua gays kwa sababu polisi hawana time wakisikia shoga kauliwa.
Alikuwa akishaua ana-masturbate pembeni ya hiyo maiti. Akimaliza anakata sehemu za siri kisha anazika huo mwili. Baada ya siku kadhaa anaufufua kisha anabandua nyama zote inabaki mifupa. Hizo nyama anamwagia acid kisha anaflash chooni halafu mifupa anaihifadhi.
Huyu alikuja kuhukumiwa kifungo cha maisha lakini aliuliwa akiwa magereza na mfungwa mwenzake.
Sijui kama nimepatia kusimulia.
Kwangu nilipo ni saa 8 mchana.Kuna warembo wapo hapa mda huu sijui hakuna wa kuwaweka bize
[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeeh,, ngoja ifike mchana nione je utakuwa umelala ?Kwangu nilipo ni saa 8 mchana.
Sio kila mtu kwake ni usiku.
Ni kweli maana kama huyu alithibitika ana matatizo ya akili. Hiyo ni sayansi ila kiroho unaweza kuta alikuwa amevaliwa na maroho.daaah! mpaka inatisha yaani.
wakati mwingine unaweza kusema hana utu ndani yake au hana ubinadamu, lakni ndio hivyo alizaliwa akiwa mwana damu kamili na maziwa ya mama alinyonya.
mimi bado ninidhani kuna kitu ambacho sio cha kawaida hukutana nacho na ndicho humpelekea kufanya hivyo.
kwa upande wangu ninaweza kuhusisha na mambo ya kiroho,kwa mfano, wakati fulani kulikuwepo na mtu wa namna hio akifanya mambo kama hayo kisha akakamatwa ama akauwawa, ile roho yake haipotei bure hutafuta mtu wa kumuingia na kuendeleza hio mission. hufuata mtiriko huo mpaka atokee mwenye ufahamu wa kumaliza hio hali.
lakini pia kuna imani nyingine hufundisha ya kuwa mtu mwema ama mbaya anapomaliza maisha yake hapa duniani kwa kipindi alichopangiwa, hwa anazaliwa katika namna nyingine ya ubaya kama alitoka na ubaya ama ya wema kama alitoka kwa wema.
yote ya yote inaweza kuwa ni hadhithi ama tungu tuu lakini huwenda kuna ukweli ndani yake.
Sawa. Na vipi wewe mbona haujalala?Eeeh,, ngoja ifike mchana nione je utakuwa umelala ?
Ukiwa online[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nlikuwa nimelala ila sasa kuna mtu alikuwa anapiga kelele,,Sawa. Na vipi wewe mbona haujalala?
Kuna riwaya moja nilisoma...Binti alikuwa muuaji na mauaji yake alikuwa anafanya kwa wanaume tu. Anaua kisha anawakata sehemu zao za siri na kuzibanika na alikuwa na sanduku lake la chuma (tranka) anazihifadhi humo.Kama mtu anapenda kuwajadili au kupiga story za hawa serial killers anishtue.
Yupo huyu alikuwa anaitwa Jeffrey Dahmer. Huyu alikuwa anaua wanaume, na anakula sehemu za mwili na mabaki ya mwili anayahifadhi na anayatumia kufanya mapenzi.
Kipindi chake cha udogo alikuwa anapenda sana wanyama waliokufa. Akikuta mizoga iliyokufa pembeni ya barabara anaichukua anaipeleka nyumbani na kuipanga mahali. Anaichuna ngozi na kubadua nyama kwenye mifupa ila ibaki mifupa tuu. Kisha anaipanga sehemu basi ndio furaha yake.
Huyu alikuwa ni gay yaani anataka kujihusisha kimapenzi na wanaume. Na alianza mauaji akiwa na miaka 18.
Sasa huyu alikuwa anaua wanaume na asilimia kubwa ya wanaume aliokuwa anawaua walikuwa ni gays. Na alikuwa anaua gays kwa sababu polisi hawana time wakisikia shoga kauliwa.
Alikuwa akishaua ana-masturbate pembeni ya hiyo maiti. Akimaliza anakata sehemu za siri kisha anazika huo mwili. Baada ya siku kadhaa anaufufua kisha anabandua nyama zote inabaki mifupa. Hizo nyama anamwagia acid kisha anaflash chooni halafu mifupa anaihifadhi.
Huyu alikuja kuhukumiwa kifungo cha maisha lakini aliuliwa akiwa magereza na mfungwa mwenzake.
Sijui kama nimepatia kusimulia.
daaah! mpaka inatisha yaani.
wakati mwingine unaweza kusema hana utu ndani yake au hana ubinadamu, lakni ndio hivyo alizaliwa akiwa mwana damu kamili na maziwa ya mama alinyonya.
mimi bado ninidhani kuna kitu ambacho sio cha kawaida hukutana nacho na ndicho humpelekea kufanya hivyo.
kwa upande wangu ninaweza kuhusisha na mambo ya kiroho,kwa mfano, wakati fulani kulikuwepo na mtu wa namna hio akifanya mambo kama hayo kisha akakamatwa ama akauwawa, ile roho yake haipotei bure hutafuta mtu wa kumuingia na kuendeleza hio mission. hufuata mtiriko huo mpaka atokee mwenye ufahamu wa kumaliza hio hali.
lakini pia kuna imani nyingine hufundisha ya kuwa mtu mwema ama mbaya anapomaliza maisha yake hapa duniani kwa kipindi alichopangiwa, hwa anazaliwa katika namna nyingine ya ubaya kama alitoka na ubaya ama ya wema kama alitoka kwa wema.
yote ya yote inaweza kuwa ni hadhithi ama tungu tuu lakini huwenda kuna ukweli ndani yake.
Kuna riwaya moja nilisoma...Binti alikuwa muuaji na mauaji yake alikuwa anafanya kwa wanaume tu. Anaua kisha anawakata sehemu zao za siri na kuzibanika na alikuwa na sanduku lake la chuma (tranka) anazihifadhi humo.
Kisa cha kufanya mauaji yote ni kubakwa na mtu aliyekuwa akimlea na alikuwa bado ni mtoto (alizaliwa pasipo kuwajua wazazi wake). Kubakwa sana kule kukapelekea ajenge chuki kubwa sana na wanaume.
Hasira zake zikaishia kuwalaghai kimapenzi kisha anawaua na kukata viungo vyao vya siri...serikali ilimtafuta sana mpaka ikachoka ila baadaye ikaja kumpata wakati ameshaua mamia ya raia
Kila nikilog in mtu wa kwanza kumfuatilia kaandika nini ni wewe.Kama mtu anapenda kuwajadili au kupiga story za hawa serial killers anishtue.
Ukitaka mtu wa kupiga story mimi nipo. Hata kama kitu sikijui nipo radhi nikakisome nilipe na ada kabisa ili nije nikupigie story.Dah ndio nishakosa watu wa kupiga nao strory[emoji1787].
Acha nikapike.