Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...

Halafu wee sijui nikuite jina gani?
 
Yuko chalii, miguu juu kifo cha mende [emoji14] hawezi tena siasa. Eti uzi wa kubishana... huyu kizee kaishiwa sera jamani mweeh! Alijifanyaga msiasa na mdini sasa kawa kizee cha kijiweni kubishana bila sababu. Nani anabisha????
Muache ale mafao ya uzeeni huku vidole vyake vinaongea. Hajaguswa na vikokotoo vipya
 
Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
hakuna kitu kama hiyo katika hii dunia,wanawake wanapenda pesa kuliko kupetiwa petiwaa
 
Hvi wewe ni mtoto wa Baba kweli??naanza kuwa na mashaka nishabisha tayari
Kwani wewe ni mtoto wa baba yako? Na una uhakika gani kama wewe n mtoto wa baba yako...nimeshabisha kuhusu uwepo wako hapa dunian
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…