Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Sababu kila nnapokoment wananisifia kwa lugha kali,nzuri,kejeli na kadhalika
Ogopa watu wataratibu. Wanasema, baadhi ya wana saikolojia, wauaji wote ni wataratibu.
 
Hebu onyesha huo unaoujua
Umenifny nicheke kwa saut mbele za watu alaf wasijue nacheka nin?
Dah sawa kuna kitambi fulan kilitupwa jalala flan pale kimara nikikiona ntakutumia
 
Hata akiwa na mkwanja wake mwenyewe na hata uwe mrefu kiasi gani bado ile principle ya kazi ya mwanaume n kutafuta kwa jasho na kumtunza mwanamke n kazi ya mwanaume itaaply mzee baba hahahaahhahahahah
Yap yap na unaweza ukajuta kumjua maana utakuwa ndo bangusilo yaani tambala la.kufutia miguu hahaha Mwanamke ni binadamu tofauti kabisa na tunavyofikiria. Anaweza akakutoa au akakutumia vibaya ukabaki unalia lia tuu
 
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
Wengine tumekuja kuchungulia.
 
Mbinguni ni kwetu pia wala si kwenu wewe rudi tu Kwenu
Sisi ndiyo kwetu maana n kwa baba yangu na ukitaka kuja mm ndo nakufungulia gate sasa we jifanye mjuaji...siku nitakuacha nje ya gate ukinyeshewa mvua ndiyo utajua..shauri yako
 
Yap yap na unaweza ukajuta kumjua maana utakuwa ndo bangusilo yaani tambala la.kufutia miguu hahaha Mwanamke ni binadamu tofauti kabisa na tunavyofikiria. Anaweza akakutoa au akakutumia vibaya ukabaki unalia lia tuu
Hahahahahahaha ila mlivyoambiwa muishi na sisi kwa akili Nina imani mlielewa somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…