Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo shamba na laptopKumbe hiyo ni simu
Mbinguni ni kwetu pia wala si kwenu wewe rudi tu KwenuNakubishia maana sitaki kujua unaishi wapi sisi kwetu mbinguni wewe utashangaa na huko masaki kwenu na huyo baba yako chakupewa
I never do homework labda mzaz anisimamie na kiboko pembeniIts ur homework
Lakini hapo naona umefunga mdomoNitabasamu
Na wembeUpo shamba na laptop
Mimi nijuaje sasa, ndiyo usemeUmejua ni shamba lipi
Umenifny nicheke kwa saut mbele za watu alaf wasijue nacheka nin?Hebu onyesha huo unaoujua
Aliye kwambia kwamba nina macho yanayoona ni nani ?Ni Toxic kasema nachat, kwani hukuona
Yap yap na unaweza ukajuta kumjua maana utakuwa ndo bangusilo yaani tambala la.kufutia miguu hahaha Mwanamke ni binadamu tofauti kabisa na tunavyofikiria. Anaweza akakutoa au akakutumia vibaya ukabaki unalia lia tuuHata akiwa na mkwanja wake mwenyewe na hata uwe mrefu kiasi gani bado ile principle ya kazi ya mwanaume n kutafuta kwa jasho na kumtunza mwanamke n kazi ya mwanaume itaaply mzee baba hahahaahhahahahah
Wengine tumekuja kuchungulia.Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.
Mada yoyote ruksa.
Karibuni...
Leo una stress unabishaKwani amekudai wewe
Nimekupata mzee baba. Ngoja nijiandae kwenda masjid na bibi faiza[emoji23][emoji23][emoji23]leo ni special location
Sisi ndiyo kwetu maana n kwa baba yangu na ukitaka kuja mm ndo nakufungulia gate sasa we jifanye mjuaji...siku nitakuacha nje ya gate ukinyeshewa mvua ndiyo utajua..shauri yakoMbinguni ni kwetu pia wala si kwenu wewe rudi tu Kwenu
Na hata dereva wa basi la tanzania ni jiwe na sisi ni maweKama reli ni chuma, mataili chuma, na treni chuma basi dereva nae ni chuma..bila kusahau abilia wote wa kigoma ni chuma
Hahahahahahaha ila mlivyoambiwa muishi na sisi kwa akili Nina imani mlielewa somo.Yap yap na unaweza ukajuta kumjua maana utakuwa ndo bangusilo yaani tambala la.kufutia miguu hahaha Mwanamke ni binadamu tofauti kabisa na tunavyofikiria. Anaweza akakutoa au akakutumia vibaya ukabaki unalia lia tuu
= nitakimbiaSijauona na nikiuona ntakimbia.
nakukuna tu na weweHata ukiona utanifanya nini