Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Mimi nabisha, maana kwa kutukana hajambo. Wapole hatutukani...
Nataka za kusaga kama zipoZile huwa zinakobolewa
Kwa majibu haya wewe utakuwa unatumika na mabeberu. bisha niweke picha zako na wazungu hapaMe nabisha kwa sababu me n mtazania by birth lakini mm siyo jiwe ni binadamu...Kama dereva wenu ni jiwe msilazimishe kufanana naye.
Mbona kila nkikupigia haupokei. Huoni kama unanikwamishaMpigie mama yao simu umueleze azimio lako hahahahahahhhaha
Nabisha tena..leta ushahidi hapa.kama kweli me kibaraka nihamishiwe Pluto nkaishi peke yanguKwa majibu haya wewe utakuwa unatumika na mabeberu. bisha niweke picha zako na wazungu hapa
Kikokotoo cha mafao ya serikaliBando ni nini?
Huwa sipokei simu za watu wasiojielewaMbona kila nkikupigia haupokei. Huoni kama unanikwamisha
Salama tu mzee wa chura Afrika mashariki , kusini na katikati zilipo chura.Sterling wa kukwapua watoto wazuri wa JF vipi mkuu?
ThibitishaHahahahhaa si kwel
Me nabisha maana Behaviourist anapenda sana flat screenSalama tu mzee wa chura Afrika mashariki , kusini na katikati zilipo chura.
It is transmitted via radiationis IQ hereditary?
Ngoja nifanye kikao na jopo langu kabla sjaleta picha zenu hapaNabisha tena..leta ushahidi hapa.kama kweli me kibaraka nihamishiwe Pluto nkaishi peke yangu
Thibitisha.Huwa sipokei simu za watu wasiojielewa
Utakuwa umemfananisha na @beaviourist mwingineMe nabisha maana Behaviourist anapenda sana flat screen
Anza kuthibitisha wewe kama kweli umewahi nipigiaThibitisha.
Mbona muda si mrefu umepokea
HazipoNataka za kusaga kama zipo
Kwa nini haiwezekaniKIrahisi hivyo... Haiwezekani wallah
Ni kakanguKumbe wewe sio kaka ake sakayo, nyie watu wasiri sana