moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Mi nabisha maana navyojua wanawake wanapenda sana kutulia hela.
Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa