Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
Wewe unanipenda na umeshanisumbua sana hadi nika kukubalia na sasa ni wapenzi wa siri......bisha?!
 
Saint Anne ndo msichana mpole na mzuri jf nzima[emoji23][emoji23] anaebisha aje hapa

Natamani magu atuongoze Hadi 2050[emoji38]
 
Asee mi mbishi sanq
Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.

Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.

Mada yoyote ruksa.

Karibuni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…