Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Wewe unanipenda na umeshanisumbua sana hadi nika kukubalia na sasa ni wapenzi wa siri......bisha?!Uzi huu unaweza kuleta mada yoyote ili tunaopenda ubishi tubishane. Wale wasiopenda ubishi pia mnakaribishwa kubishana mnapoona panahitaji kuwekwa sawa.
Ubishi uwe wa staha na stara si wa matusi.
Mada yoyote ruksa.
Karibuni...