Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Mkuu muulize baby wangu faiza umri wangu, atakujibu
 
Ctak kuamini kuwa Khantwe & @Prondo cjui ni mapacha....liwake jua lizame mvua inyeshe ctaki kusikia wala kuamin kuw ni kwel mapacha.
 
Yuko chalii, miguu juu kifo cha mende 😛 hawezi tena siasa. Eti uzi wa kubishana... huyu kizee kaishiwa sera jamani mweeh! Alijifanyaga msiasa na mdini sasa kawa kizee cha kijiweni kubishana bila sababu. Nani anabisha????
Siasa si kubishana tu? Nini zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…