Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wew ndo ujapata mpenzi wa kweli poleee sanaNikupe moyo wangu ili unijaze maumivu nabisaha kuwa mapenz ya ukweli hakuna
Siasa si kubishana tu? Nini zaidi?Yuko chalii, miguu juu kifo cha mende 😛 hawezi tena siasa. Eti uzi wa kubishana... huyu kizee kaishiwa sera jamani mweeh! Alijifanyaga msiasa na mdini sasa kawa kizee cha kijiweni kubishana bila sababu. Nani anabisha????
Ni kweli haujaandika hapa kwa sababu wewe mwenyewe haupo.Nabisha sio Mimi niliye comment hapa unaposoma
Tatizo ni pale unaandika uku ukiwaza uzuri wa hii siku lazima kuchapiaUchimu= Uchumi
Nimekupa moyo wangu kazi ni kwakoSijauona na nikiuona ntakimbia.
Sisi watu wa Kigoma sio wabishi hata kidogo.Kigoma members tukutane hapa uzi wetu huu.
Naunga mkono mtoto mzuri sakayoSasa hapo unapinga nini?! Huwezi kuwa navyo vyote kwa pamoja... Mengine tunaheshimu na kuvumilia tuu
Yawezekana japo sina hakika.Nasikia Wanyiramba nao ni wabishi na Wapare.
Ahsante baby kwa kunirekebisha= sexy
Sibishi muda utaongea... Ngoja nimpige saundi bibi faiza wazee wanajua mapenziwew ndo ujapata mpenzi wa kweli poleee sana
Alokuambia nachat naniHahhahahh wewe kila kitu unabisha, bingwa wa ubishi, unalimaje huku unachat?
Tena athibitishie kwako mkuuMimi nabisa wewe sio bilionea, kama mi mwongo thibitisha ubilionea wako