Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Unaandaaje shamba bila kulima honeyHajasema analima kasema anaandaa mashamba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaandaaje shamba bila kulima honeyHajasema analima kasema anaandaa mashamba.
Na ni kwa nini uchapie?!Tatizo ni pale unaandika uku ukiwaza uzuri wa hii siku lazima kuchapia
Tena athibitishie kwako mkuu
Labda kama moyo wa kuku, huo wako mbona bado unaoNimekupa moyo wangu kazi ni kwako
Finally tumekubaliana...Naunga mkono mtoto mzuri sakayo
Anza weweKila mmoja aeleze kwanini avatar yake?
Mie tayariKila mmoja aeleze kwanini avatar yake?
Uchaguzi wa Temeke ulitangazwa lini?
......Nabisha Kiranga ndio namba mojaGenta ndiye member mpole na mstaarabu jf nzima
Hahaha hahaha hahahaHahahahahaha.
Hata wa kuku sijauona labda aliupeleka kwa mganga wake.
Stress tena, siunaniju vizuri sibishiNa ni kwa nini uchapie?!
Ukiwa na furaha huwa umakini unakuwepo megundua una stress
Hahaa ushauri mzuri wafanye tu mambo menginePale hakuna uchaguzi wanampitisha tu usijisumbue kupiga kura ni sawa kupaka rangi upepo
Sio la kistaarabu kivipi?Hilo neno "Genta" si la kistaarabu.
HahahaLabda kama moyo wa kuku, huo wako mbona bado unao
Kuandaa shamba sio lazima kulima, hata kufyeka piaUnaandaaje shamba bila kulima honey