Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Me nabisha dereva akiwa jiwe siyo lazima abiria tuwe mawe
Na hata dereva wa basi la tanzania ni jiwe na sisi ni mawe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hata dereva wa basi la tanzania ni jiwe na sisi ni mawe
Nna Watoto watatu mamie na ndoa ya 13yrsNabisha, kwanza wewe hujawahi hata kuoa
Wembe wakufanyia niniNa wembe
= AliekuambiaAlokuambia nachat nani
Utapata kwa performance yako tu. Performance ikiwa mbovu hata ukilipia hupati.
UlitakajeLakini hapo naona umefunga mdomo
Itapendeza, ukimaliza njoo na jibuI never do homework labda mzaz anisimamie na kiboko pembeni
Upepo haupakwi rangiPale hakuna uchaguzi wanampitisha tu usijisumbue kupiga kura ni sawa kupaka rangi upepo
Sasa naelewa vizuri kabsaa! Mkwanja na performance hivi vitu viende sambambaHahahahahahaha ila mlivyoambiwa muishi na sisi kwa akili Nina imani mlielewa somo.
Akija mwambie apunguze stressMie dadake, akija nimwambie nini
Hilo ni shamba gani umebeba wembeMie dadake, akija nimwambie nini
Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Cc Maxence MeloAliitumia fursa vizuri zamani ilikuwa Jambo Forums. Kabla ya hapo ilikuwa ni group chat yahoo na hajaianzisha yeye.
Abishe.
Nabisha sio kweliAcha uongo wewe mbona mi kila nilirudi naulizwa pesa
Kukuna nini sasanakukuna tu na wewe
Nabisha we huna hata mtotoNna Watoto watatu mamie na ndoa ya 13yrs
Wa kulimaWembe wakufanyia nini
Ndo umeandika nini= Aliekuambia
Kabisa... Ukiacha kimoja n sawa na kupika chai isiyo na sukariSasa naelewa vizuri kabsaa! Mkwanja na performance hivi vitu viende sambamba
Vua miwaniUlitakaje