Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Uislam ni dini inayo kubalika kwa mwenyezi Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimeshamsameheAnatumia uhuru vibaya,
Bila shaka... Ila nabisha kama wewe ni MkristoUislam ni dini inayo kubalika kwa mwenyezi Mungu
Kwa sababu ni Mimi mwenyeweKila mmoja aeleze kwanini avatar yake?
Sawa we mzuri nataka nije kwenu kutoa posa.We mbaya una sura mbayaaaa.
Kama wanawake wanaruhusiwa kutoa posa sawa lakini kwako wewe hata bure sikuchukui. Bora niishi na maboksi.Sawa we mzuri nataka nije kwenu kutoa posa.
Sakayo cha upole watttttttttttNimeshamsamehe
Halafu hata asemeje kama sipo hivyo hainiumizi so relax
👏👏👏👏👏👏👏👏Me nabisha mwanamke hawezi kukanywa kama mtoto mdogo maana na yeye n mtu mzima kama wewe... Kama unataka umkanye mke wako kama mtoto basi oa mtoto mdogo
Sio kweliKwa sababu ni Mimi mwenyewe
Dogo una maswali sanaSijaelewa
Kwanini sio kweliSio kweli
Hahaha hahahaSakayo cha upole wattttttttttt
Nikibisha hapa, hakika mimi nitaonekana mbishi.Wanawake hawahitaji pesa, wanahitaji mapenzi ya dhati, kubembelezwa na kusikilizwa. Basi kuna mtu atabisha hapa
Nieleweshe hebuDogo una maswali sana
ThibitishaKwanini sio kweli
Maelewano tu mkuu kwani mbaya si sura au vyote ni mbayaKama wanawake wanaruhusiwa kutoa posa sawa lakini kwako wewe hata bure sikuchukui. Bora niishi na maboksi.
Unabisha?
Not your first time... Leo asubuhi tu umenichenjiaHahaha hahaha
Nitakubadilikiaaa
Siku nyingineNieleweshe hebu
Leo umeniona wapi we mtuNot your first time... Leo asubuhi tu umenichenjia