Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi.

....Nabisha dunia ni Duara kwa fact zifuatazo

- Kupatwa kwa mwezi na Jua

- Usiku na Mchana

- Kubadilika kwa Majira

- Ship visibility (Nimekosa kiswahili chake)

-Kutofautiana kwa masaa baadhi ya nchi na nchi.

- Mawio na Machweo

Nk.
Aah mie nijuavyo ipo square (skwea).
 
Mim nabisha mpak kesho kwan waliotoa tafsiri ni binadam kam sisi

Tunaweza tukakubariana kutoka leo kwamba simu tuiite mamba na mamba aitwe simu na maisha yakaendlea kam kawaida





Wewe ndo unajua kibisha sasa hadi ushahidi umeletwa lkn wapi...
 
Parallel lines zinakutana mwisho ya mipaka ya skuli bisha!Watu wabishi usiseme.
 
Back
Top Bottom