KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Dont say maumivu yataisha tu hujampa mtu HOWSo u legalize suicide?
Na hayo yote yatakuwa solved baada ya kujiua?
Okay its about him/me? Vip kuhusu hiyo familia alioianzisha tayar?
What is pain? Maumivu yataisha tu.
Ishu ni jinsi ya kuovercome hizo problems ila sio kwa kujiua.
UnajuajeKabisa nilisema naye hayo ila naomba mchek na wewe tumsaidie. Huku kuna 2nd chances mpka countless chances lakn huko kujiua na ni kukimbia kusikojuliakana and there wont be second chance.
Tujiulize ukiondoka duniani je huko unapokwende je mola wako atakua radhi na wewe ukikutana nae? Je atakusaidia maana uliona kifo ndio cha kukwepa haya matatizo? Unajua adhabu yake itakuaje? Allah atuongoze
Umewahi kuwa rejected by ua father, then remains the hope to a mother who gave birth to u na yeye aone she can not raise u alone aolewe then aamue kutetea ndoa yake akusahau, u turn to ua grandmother unaemjua akusogeze then aseme sina cha kukusaidia find your own way, una geukia ulimwengu then it pushes u to a distnce that u cant even measure(tofauti ya magharibi na mashariki)Unajuaje
What if somebody wants to face God himself and talk to him abt his/her struggle?.
Usiombe ukafika point uko radhi ukamuone Mungu mwenyewe muongee in person mana maombi amesikia ila hajajibu ama majibu aliyokupa unateseka nayo
ukiwa suicidal kwenda kuonana na Mungu sio issue kwako
Ndio jambo unalohitaji utoke hapa duniani uende huko
NB:ushawahi pata shida ukaona heri ukatishe maisha yako?
Ngoja nikuache
Labda siku ukiwa tight ama mtu wakaribu yako yakimfika utaelewa
people js want someone to understand their pain we unaona ni upuuzi
Mtu anaejiua hahitaji sympathy yakoHakuna mtu ataelewa kiusahihi maumivu yako kuliko wewe mwenyewe, tusiwe watu wa kupenda kuonewa onewa huruma.. Tunasaka sympathy saana..
Mimi nishakuwa tighted, shida sio kufikiri kujiuwa shida ni kuyakubali hayo kama ndio uamuzi wa bora a.k.a solution, hatimae kujiuwa.
Mtu anaejiua hahitaji sympathy yako
Amepambana mwenyewe na anajiua mwenyewe
Na yeye peke yake ndo anajua the weight ya hizo changamoto
Yeye ndo anajua how much he/she tried to solve the problem
Know the difference!
hujawahi taka kujiua wewe ungeishanielewa
Ushafikiria hadi how u will do it?.the note u will leave behind.,nk..
Sio kitu that happens siku moja
Simply u sound as a person ambae hujawahi fika hio point na mtu akikufuata utadharau badala ya kumsaidia
Acknowledge the struggle and the problem first
Ngoja nikuache
Labda siku ukiwa tight ama mtu wakaribu yako yakimfika utaelewa
people js want someone to understand their pain we unaona ni upuuzi
Mi ni mdadaBro hapa tunaelekezana wala hatu-battle.
Pia napenda kujifunza.
Okay niambie other reasons zinazopelekea mtu kujiua mbal na matatizo anayokutana nayo?
U dont understand their pain ndo mana unaita UFALAAcha nikuache tu, naona tunabishana, wewe unaongea mwenyewe kisha unakengeuka.. Ww ndio uliesema "people just want someone to understand their pain"
Dah aisee, maisha hayaaa, Mkuu ungeacha familia ikiteseka.Kuna kipindi nilikutwa na hali hiyo kutokana na ugumu wa maisha uliopitiliza. kila nilichokuwa nikifanya kiliishia pabaya(japo mpaka sasa sina maisha mazuri) Nilikuwa nalala na njaa,sina hata mwelekeo,mtoto amedhoofu kwa utapiamlo,wife mjamzito,vibarua sipati na nikauza mpaka vitu vya ndani ili kulipa madeni na kuhudumia tumbo. Siku moja nikaona hapana bora nife tu(wazo la kujiua halikuja ghafla,ni la muda mrefu)nikakopa elfu 10000 kwa kaka yangu nikamwambia naenda kununua chakula cha familia, nikaenda kununua vidonge vinaitwa flajiri na dawa za usingizi nikaenda kununua kiroba kinaitwa faru cha 2000, nikanywa Ilikuwa mida ya saa 2 usiku kuelekea saa 3,nikawahi home ili nikafie ndani kwangu,nilikuta wife na mtoto wamelala baada ya kunywa uji.Hapo tumbo lilikuwa limeanza kuniuma balaa na usingiz unakuja kwa kasi. Nilijikuta nimelala mpaka saa5 asubuhi,pembeni yangu nikamkuta mwanangu amekaa pembeni yangu akinisubiri niamke ili tucheze pamoja,mama yake alikuwa kajidamka kwenda kutafuta
Kabisa...SubhanAllah. Amekata tamaa mpaka mwisho
Bro vipi? Pande zipi man?Wadau hii hali ya kutaka kujiua nnayo
Sioni furaha ktk maisha yangu, kila siku maisha yanazidi kuwa mabaya, siwez kujutia uhamuzi huu
Zipo sababu nyingi zinazonisukuma kufanya hivi
Nimebakiza siku chache za kutafakari kifo changu
Sio ujinga, bali ni ukweli mbaya!! Usiandike mambo mabaya tu!Basi imetosha, acha kuandika ujinga.
I second to you man,mtu asifikie kujiua kabla ya kujikutanisha na watu!! Suluhu ya matatizo yako iko kwa watu kwa mkono wa Mungu,aisee,nipo msibani, tunampumzisha mama yangu kesho!!Acha ujinga.. Unadhani kujimaliza ndio tatizo, fikiria matatizo yako ukijiua uzito kiasi gani unaenda kwa wale wanaokutegemea, kiasi gani unawaacha na majonzi..
Mtume s.a.w anasema, usijilinganishe na wajuu yako, jilinganishe na wachini yako... Utaona neema za mola kwako..
Kama ni maradhi kuna watu wana maradhi ya hatari huko mahospitalini, kama ni dhiki, kuna watu wan dhiki za kila rangi we mpaka simu ya kuchat jf unayo
Kama ni stress za mapenzi, umechukuliwa demu/mke ndio we ukijiua na kikojoleo chake unaondoka nacho!!? [emoji848], we unakufa huku duniani watu wanaendelea kuruka nae vizuri tu
Pambana maadui zako siki wakuheshimu
Kama ni kufirisika, kuna watu wamefirisika si mchezo..
Kwangu kujiua ni wazo la kifala zaidi kuliko mawazo yoote, labda mtu aliyerogwa..
Mfikirie mzazi wako yupo, fikiria wanao kama wapo n.k
Shida tumeumbiwa sisi, hiyo ni mitihani tu na lazima tuishinde.
Achana kabisa na huo ufala kaka.
Jama jama jama, mie najitolea kwa yeyote yule mwenye fikra za kujiua, kumsaidia kadri niwezavyo... Uwe na ndugu jamaa au rafiki usisite kunicheki
Pole ndugu yangu... Kila nafsi itaonja umauti, sisi sote kwake tutarejea, kikubwa ni kuzidisha maombi mpendwa wetu apate pumziko.I second to you man,mtu asifikie kujiua kabla ya kujikutanisha na watu!! Suluhu ya matatizo yako iko kwa watu kwa mkono wa Mungu,aisee,nipo msibani, tunampumzisha mama yangu kesho!!