Kwa wanasayansi wabobezi.Ni zipi sababu za msingi zinazomfanya kuku asikojoe ili hali maji ana kunywa?

Mkiambiwa msome masomo yanayoeleweka kwenye combination mnakimbilia kusoma Masomo yenye H yaani History ndani kama HGK,HGL nk ona sasa mnatusumbua na maswali ya kijinga
Kkauliza swali zuri sana na kunamdau hapo post no 6 kajibu vizurii binafsi nimept
Shida humu nijukwaa huru so wajinga wapo pia ila umeuliza swali zur alafu wengne hatujasoma kabisa mie bina
๐Ÿ’ช
 
Kwani yale mavi ya kuku hayana mkojo ndani yake?
 
Taarifa:-
Mbuni akibanwa na mav..i anakun..ya na akitaka kukojoa anakojoa kwa muda wake kama wanyama wengine.
 
Acheni MUNGU aitwe MUNGU. Huu uzi unaonyesha kabisa jinsi MUNGU alivyo Top Top scientist.

Kila kiitu amekiumba kwa namna yake kwa jinsi yake.
 
Labda nikuulize kwanini wanyama wanakojoa ? Kama issue ni kutoa maji wanayokunywa si yanaweza kuchanganyikana na kinyesi ? (Which is what happens)
 
Chuguza kinyesi cha kuku mara tu anapokunya utaona vimajimaji; huo ndiyo mkojo wake!
 
Kwani mkuu ulijuaje kuku hakojoi?๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Btw kuku/ndege hawakojoi lkn maji wanayokunywa yanabakia mwilin. Kias kdg cha maji kinatoka kwa njia ya kinyesi km uric acid.
Kuongezea, hawana kibofu cha mkojo mkuu. ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€kama uliwah kuchinja kuku umenielewa
 
ni swali lakimfumo na uchanganuzi wake ni mrefu ndugu..kwa kifupi kinyesi cha kuku kimechanganyikana na majimaji tunaweza kukikiweka kama mkojo pia kabla hujajiuliza hilo vipi ulijiuliza kama wewe una filigisi au kuku anafigo ukipata majibu ya hilo tayari utajua ni swala la kimfumo mkuu
 
sayansi ya kuleta mvua kwa ku inject Silver iodide kwenye mawingu ipo ila kwa nchi za kiafrica hatuna utajiri wa kufanya hivyo ila Dubai wameshajaribu
 
Wabobezi wamekujibu kitaalamu sana ila niongezee ndo maana mbolea ya kuku ni kali zaidi ya wanyama wengine kama binadamu,ngombe sababu haja kubwa na ndogo vimeshanganyika yaani kunakuwa na organic matter na uric acid hiyo uric acid baadae ukiweka shambani ikipata maji inavunjika inakuwa urea ambapo ni sawa na hii mbolea tunayotumia shambani tunaiita sulphate of ammonia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ