Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Nasema kwa Wanasimba TU,wale wote mliomtukana,mliomponda ,mliomlaumu na mliomshambulia mchezaji Jean Ahoua wa Simba,baada ya kukosa goli siku ya mechi ya kwanza baina ya Simba na Stellenbosch huko zanziber.
Muombeni msamaha Shujaa Ahoua.
Nawataka wote mumuombe radhi na msamaha kijana huyo,kwa sababu pamoja na kukosa goli lakini Kuna goli moja alikua amekwishaiapatia Simba na ndio hilo lililoivusha Simba Hadi fainali.
Kama sio goli la Ahoua Leo hii pengine tungekua tunaongea mengine,maana hakuna goli lingine lolote lililofingwa na mchezaji yoyote wa Simba siku hiyo zaidi ya goli la Ahoua.
Kama wewe ni shabiki wa Simba na ulimtukana omba samahani.
Kwangu Mimi Ahoua ndio shujaa wangu,maana ametuvusha.
Pamoja na wachezaji wengine wote wa Simba,lakini Ahoua ndio shujaa kwa goli lake lilelile moja.
Wanasimba we zangu msiwe watu wa lawama kwa wachezaji wetu,mnawavunja moyo.Kila mtu na majaaliwa yake.
Ahoua ni dead ball specialist,na dead ball yake ndio iliyotuvusha.