Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Ahoua angefunga lile goli timu isingening'inia dk 65 nzima roho mkononi...wangekuwa na uhakika mpe onyo asirudie tena utoto...Nasema kwa Wanasimba TU,wale wote mliomtukana,mliomponda ,mliomlaumu na mliomshambulia mchezaji Jean Ahoua wa Simba,baada ya kukosa goli siku ya mechi ya kwanza baina ya Simba na Stellenbosch huko zanziber.
Muombeni msamaha Shujaa Ahoua.
Nawataka wote mumuombe radhi na msamaha kijana huyo,kwa sababu pamoja na kukosa goli lakini Kuna goli moja alikua amekwishaiapatia Simba na ndio hilo lililoivusha Simba Hadi fainali.
Kama sio goli la Ahoua Leo hii pengine tungekua tunaongea mengine,maana hakuna goli lingine lolote lililofingwa na mchezaji yoyote wa Simba siku hiyo zaidi ya goli la Ahoua.
Kama wewe ni shabiki wa Simba na ulimtukana omba samahani.
Kwangu Mimi Ahoua ndio shujaa wangu,maana ametuvusha.
Pamoja na wachezaji wengine wote wa Simba,lakini Ahoua ndio shujaa kwa goli lake lilelile moja.
Wanasimba we zangu msiwe watu wa lawama kwa wachezaji wetu,mnawavunja moyo.Kila mtu na majaaliwa yake.
Ahoua ni dead ball specialist,na dead ball yake ndio iliyotuvusha.
Hawa jamaa sjui wanaongea nini ..unakaa na presha dakika 70 nzima..wanafikiri mchezo...haya mashindano ukipata nafasi ya wazi unatakiwa usifikirie ustaa sjui kufunga kistaa, sjui nini, hata ukisema upige mpira kwa nguvu kulenga goli kama kinda wa miaka 15 anayejifunza kupiga mpira ulionyooka fanya hivo alimradi goli liingie unafunga au unapata nafasi ya kumpa mtu pasi usitake kuonekana wewe ni shujaa mpe mtu Pasi afunge..ubinafsi mbaya sanaAhoua angefunga lile goli timu isingening'inia dk 65 nzima roho mkononi...wangekuwa na uhakika mpe onyo asirudie tena utoto...
Kacheze wewe alafu uje kuharisha hapaTumtake radhi kwa kipi!! Acheni unywanywa huyo bwana mdogo aboreshe kiwango chake, hauwezi kuwa bora kisa freekick tu, apunguze uchoyo, aiweke timu mbele kuliko takwimu binafsi.
Mchezaji hawezi kuwa bora kwa mazuri machache na mabaya mengi.. anahitaji mazuri mengi na makosa kiasi ili awe bora .... Yule camara alituzingua mechi na mtani, kmc na game gani sijui alisamehewa haraka sababu ya mazuri yake kuwa mengi zaidi.
Kwanza ajue namba yake inahitaji nini, je nae ana provide nini, unapokuwa namba 10 ambae chini una midfielder wawili(double pivot, mmoja defensive,mwingine box to box) kushoto una winger,kulia una winger na center forward mmoja, lile eneo la kati unapaswa utambe, piga sana pasi zako, tengeneza sana nafasi za kutosha..