Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Uzuri wa JF huwa tunaweka material ya kumsaidia hata ambaye ni msomaji tu anaokota cha kumsaidia.Nimefuatilia ushauri mzuri unaotolewa na watu na majibu ya mtoa mada. Nimegundua stori yake si ya kweli. Ingawa ina mafunzo ndani yake ila si ya kweli ametunga tu na ni mtu mwenye upeo mdogo sana hawezi kusoma mindset za watoa ushauri na kwenda nao sawa.
Ni akili kubwa tu ndio watanielewa
Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.
Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.
Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,
Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.
Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.
Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,
Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.
Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.
Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,
Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,
Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Uza jicho
Watakuchapa na wewe ukizubaa
Eeh hivi viumbe ni msalahKwa mwanamke kama huyu hata mambo yakikaa sawa sishauri kuendelea kuishi nae kwa sababu kashaonesha rangi yake halisi. Amshukuru Mungu amejua uhalisia wa mke wake kupitia changamoto anazopitia. Unakuta kijana anaogopa kuingia ndoani miaka na miaka kumbe anahofia kukutana na viumbe kama hivi.
Nimefuatilia ushauri mzuri unaotolewa na watu na majibu ya mtoa mada. Nimegundua stori yake si ya kweli. Ingawa ina mafunzo ndani yake ila si ya kweli ametunga tu na ni mtu mwenye upeo mdogo sana hawezi kusoma mindset za watoa ushauri na kwenda nao sawa.
Ni akili kubwa tu ndio watanielewa
Mwamba, Hivi huu UCHAWI UMEUELEWA...Liverpool VPN anawaambia msioe nyie hamtaki.
HahahahaaaaEeh hivi viumbe ni msalah
Oya Mo Salah kaingiaje tena kwenye hii mada? 😂😂Eeh hivi viumbe ni msalah
mwambie mkeo atafte msichana wa kazi wa kuhudumia watoto. Wewe toka hapo nyumbani, katafte maisha huko mbele kwa mbele, chamsingi usiwasahau watoto na uweke ukaribu nao kwa mawasiliano, pia uwe unarudi kuwatembelea kila baada ya miezi miwili au mitatu na kijizawadi kidogo tuu, japo hata kagunia cha mchele.Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.
Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu hasa wa kiafrika imezoeleka kwamba wanaume ndio watafutaji na ndio watunza familia.
Back to the topics, kufuatia sera mbovu za uchumi za mwenda zake watu wengi nikiwemo mie turifurushwa makazini na kupelekea ajira kuwa changamoto sasa basi mke wng ndio alichukua jukumu la kuendesha familia ili siku zisonge.
Sio kwamba Mimi nilibaki tu hom kumsubili wife alete hapana nilikuwa naingia kitaa na mm Ku hustle ili nisikae kindezi na kuonekana mpenda kitonga, lkn kama mnavyojua kitaani sio kwa mchezomchezo kitaa kigumu kinyama,
Kila deal unalojaribu linabuma, ingia kwenye umachinga na kitambulisho changu cha elfu20 napo hamna kitu, basi maisha yakawa ni tyt ile mbaya japo mtoto wa kiume nikawa najipa moyo kwamba 1day nitatoboa tu na life litakuwa normal.
Sasa turudi kwa upande wa mke wng at first my wife wangu alikuwa ndio comfort wng akinipa moyo kwamba yupo pamoja nami na ataweza kuhandle changamoto ninazopitia, kiukweli na Mimi ni shahidi wife ali play part yake kwa kiwango fulani, maji nilikuwa nawekewa bafuni, boksa nanunuliwa, mbususu nilikuwa naichakata kila ninapohitaji, na vitu vingine vingi siwezi kuweka vyote hapa ambavyo mtoto wa kiume alistahili kupata kutoka kwa mwanamke.
Sasa wajuba naona mambo yamebadilika sio kama zamani my wife wangu ame change to the extent nahisi atakuwa amenichoka na kuniona takataka mbele ya jamii,
Kwanza ile heshima kama mume ndani ya nyumba siioni tena, maji sikumbuki Mara ya mwisho kuweka ilikuwa lini, akirudi kutoka kazini ananikuta nipo sebleni nimeshika remote, kwanza hanisalimii atapitiliza moja kwa moja chumbani akija sebleni anachukuwa remote na kuweka kipindi anachotaka yeye na anapiga bit ole wake mtu abadilishe.
Kipindi chenyewe haangalii anenda zake jikoni huko tena ataanza kufoka mbona glass haijaoshwa, kijiko kipo chini, dirisha hujafunga, chakula mbona kimebaki kidogo mtoto wa kike anafoka na uso umemvimba utasema nyoka aina ya koboko amemeza simbilisi.
Kwakuwa hatuna house girl kazi zote nafanya mie ikiwemo kufua nguo zake, hadi za ndani nafua mie, kuna wkt nikifua nakuta vitone kwenye chupi najiuliza nn hiki lkn napotezea tu yy ndio kashika mpini mm sina vyangu, mbususu sipewi na nikipewa kwa masharti mpaka yy siku hiyo ajiskie, asipo jiskia miezi inaweza kukatika na usipewe harafu nikitaka kuchepuka nashindwa sijui kaniroga huyu.
Kwa kweli mambo ni mengi na visa ni vingi ukurasa huu hauwezi kutosha kuelezea, vijembe vimekuwa ndio wimbo wa Taifa siku akiwa nyumbani ,akiwa jikoni huko mm nipo sebleni anaongea na mwenzie kwenye simu, ........ningekuwa na uwezo ningemuoa mimi, mara utaskia lipolipo tu kama ling'ombe bora ng'ombe unapata maziwa na nyama, hujakaa vizuri utaskia yaani we na mista wako couple yenu nimeikubali sn huku wakicheka kicheko chao cha umbea,
Swali kwa wanaume wenzangu je mlitumia njia gani kwanza kuwa handle wanawake wa aina hii na mliwezaje kuhandle situation hii na baadae kuja kutoboa na heshima ikarudi kama zamani, angalizo kumpenda bado nampenda kwani tuna watoto na sitaki familia yangu isambaratike,
Nakaribisha ushauri mzuri tu mbaya baki nao.
Kuna mdau alichangia humu kuwa WANAWAKE WANAOLEWA SABABU YA UGUMU WA MAISHA,HAWANA SABABU NYINGINEKichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo.

mkuu tena bora akufukuze hapo yani umeshindwa kutafuta hata ajira ya udereva kichwa chako kimejaa majiNimejaribu lkn pesa yenyewe ngumu ndugu yangu
tafuta kaziNifanyeje sasa ili heshima yangu irudi kama zamani
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
mbona hata saizi wanamchakata na chupi unafua fuga hata kuku wa kienyeji wakiwa wengi utauza mmoja kwa hata elfu kumi itakufanya uweze kuchangia hata hela ya umeme hapo homeYaani nianze kulala lindoni sa sindio wanaume watakuja chumbani ss
Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
PointiHeshima itarudishwa na uwezo wako wa kuweza kuhudumia familia yako tuu mkuu, huko ndiyo weka nguvu zako zote, hawawezi kukuheshimu bila hilo, maana hawakuuimbiwa hicho
Mkuu endelea kuwa mvumilivu, muombe Mungu sio athuman , you will have a second chance like Samson ... sema tu ukishapata utasahau madhila na utaendelea kumhudumia mkeo .. ndio tulivyoumbwa wanaume ... utakuja ucheka wakati huuTuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn