Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?


Bro wazo zur lkn izo kaz xinaendana na kariba ya mtu wewe graduate leo hii uwe fundi viatu kweli ?ujianike apa barabaran dah af labda umepunguzwa kaz kama accountant ama marketer sehem aisee bora uwe ata ndan ya kiwanda kwa kazi ya ku load na ku offload mizigo lkn sehem iliyojificha
 
[emoji1666]
 
[emoji817]
 
Pole sana, mvumilie kama yeye alivyokua anakuvumilia...
 
Pole mkuu ila pambana hiyo ndio asili ya mwanamke ukiwa huna Kitu.. Yani mkeo akwambia mtoto anaumwa ndani hakuna chakula alafu unajibu huna helaa aisee utatafuta tu uchi kwingine.. Na dharau zake sasa nyie nyiee hapana.
Yaani mwamba we acha tu
 
Agiza Stone Tangawizi
 
Simaanishi kwamba maisha yangu yote nitaishi kindezi na sitapata mchongo wa ku maintain familia, tatizo ni hii suddenly change ya my wife wng ambapo najiuliza siku nikisimama tena na mm nifanye revange au nipotezee tu
Wote ndo walivyo ni bora uishiwe nguvu za kiume kuliko pesa
 
Sijasoma hadi mwisho ila topic nimeipata.Ukiwa ulishaoa mke wa Kichaga pressure huwezi pata ukiwa hali mbaya sio wale wengine.
 
Kaa hivyohivyo.
 
Tuna watoto na ukisema nisepe watoto watateseka, kuna kipindi nilifikiria kusepa lkn lilipokuja suala la watoto ikabidi niwe mpole. Napitia kipindi kigumu sn

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
Kaka kipindi unafanya kazi hao watoto Nani alikuwa akiwaangalia..? Njia pekee ya kukupa amani ya moyo ni ama upate connection ya kazi nyingine au uondoke uende mbali ukapambane. Wala usihisi kwamba usipokuwepo watoto hawatapata huduma.
 
Duh hii kitu inanikumbusha jamaangu mmoja yy alipoteza kaz hlf mke bado yupo kazini,,,mke alianza nyodo kwa staili km za mke wa huyu mletamada.

yule mke ilikuwa full tafrani mara arudi ucku mwingi hlf hataki aulizwe chochote,,,kibaya zaidi akawatia maneno mabaya watoto nao wakaanza kumchukia dingi. yule mke akaanza kuinamishwa na vidume huko nje. ile ndoa ilitawanyika vipande na bdae yule jamaa alikufa kwa stress.

kuna mwngne nae nilishuhudia kwa macho yngu mawili, akitupiwa vifurushi vyake nje baada ya baby mama kuona jamaa hana msaada. huyu jamaa nae alikuwa kapoteza kazi. sema jamaa alibounce back akaja kupata kazi nzuri tu bdae. kwa kweli km upo apechealolo lazma uone kila rangi hapa duniani.

kibaya zaidi watoto kwa kuwa mara nyingi wanakuwa karibu na mama basi nao wanatiwa ujinga kiasi wanaamini mamayao anaonewa na usipokaa sawa kuna siku wataungana wakukate makofi kwa kumnyanyasa maza. ukifika hapo ujue huo ubaba umeshaingiliwa,,,yaani wew hautoshi kuwa baba tena,,,hapa suluhu yake ni lazma baba ujitenge,,chukua rasketi zako potea kabisa katafute kwanza 'ubaba' kokote huko mbele. mtu mmoja alisema "kuanza moja si ujinga"
 
Unayaosema yanaweza kuwa kweli tupu. Mara nyingi inategemea ulivyokuwa ukimtreat ulipokuwa bread winner. Pia, katika kupata kipato inabidi usiangalie ajira bali namna ya kujiajiri hata kufanya biashara hata kama ni umachinga. Nakushauri umtoe fedha uanzishe kilimo cha mbogamboga. Zinalipa haraka sana. Kwa sasa hakuna ajira yenye kuaminika iliyobakia kama kilimo cha mboga mboga kutokana na kuongezeka idadi ya watu hivyo walaji. Kama mkeo si muaminifu, hata ungemuacha nyumbani ukaingiza fedha atawapa wauza ukwaju, mandazi, mitumba na upuuzi mwingine. Nadhani ni tabia ya mtu. Nikuulize swali. Inakuwaje hadi unakaguakagua nguo zake za ndani au ni kipanga tangia unamuoa?
 
Chagua moja.Ufe umeoga au uishi haujachana nywele.
 
Mimi namwambiaga wife kabisa siku nafukuzwa kazi au sina kazi ujue hutaniona tena apa home hawa bila maamuzi ya kibishi huwezi elewana Nawo usitegemee atakueshimu saivi Kwa Hali uliyonayo embu ama mkoa katafute maisha pengine ndugu yangu apo utakufa Kwa msongo wa mawazo au kufanya Jambo lolote Baya ambapo utajikuta gerezani na kosa ulilofanya ni kujikunyata baada ya kutolewa kazini yani Hadi chupi yake unafua aisee hii kiboko Aya Kaka pambania kombe Ila akili yako ijue ndoa ni ubatili mtupu na watoto ni wake mwanamke si wako ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…