Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

mwanamke akikaza matakro hapo kuboost mbona ndoa inasonga vizuri tu ukute na msambwandwa anao tena kwenye maisha halisi aisee kuachana ni ngumu.
 
I love your comment binti kiziwi, hivi bado hujaanza kusikia?[emoji23][emoji23]

Watu wangejua hizi ndoa zilivyo, wasingekuwa na vichwa vigumu namna hii, tatizo baadhi ya wanawake wanadhani wao wapo kupewa tu, sawa ni jukumu letu kuwatunza. But kuna nyakati mtu lazima uanguke tu, je nikianguka upo tayari kunipa support, hasa ya kiakili ili ninyanyuke tena?

Wengi wanaanza kupigwa mashine huko na kusahau familia. Sad!
 
Ndoa ilitoboka... So jiandae kisaikolojia
 
Mbwa hawa hawafadhiliki mzee mi sina hamu nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…