Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Ila hivyo vyote inafaa ukiwa kwenye nyumba yako mwenyew ndio uta enjoy zaid
Anza kidogo kidogo, unapo hamia kwako pia utaongeza utakacho hitaji kutokana na mazingira
 
Vingine unavyopaswa kuwa navyo ni..
Tape measure
 
Acha uchoyo wewe. Kuwa na hivi vitu vyote nyumbani kutazidi kusababisha ukosefu wa ajira kwa mafundi wa aina mbalimbali. Haya basi ongezea na mwiko wa kuchotea zege na kono-bao la kunyooshea plaster za nyumba
Hivyo vyote havina uhusiano wowote na kuita fundi!

Yani unataka hata balbu ikiungua uite fundi?
 
Mtu wa kazi
 

Attachments

  • 1680866348361.jpg
    1680866348361.jpg
    407.1 KB · Views: 15
Umesahau kondomu siku hizi ma UTI mengi mno na gono limejificha kwenye UTI humo humo
 
wanaume wa dar wana dressing table yenye lotion, lip bum, vilainishi. hayo madude wanaona km garage
 
Back
Top Bottom