Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Kama uko dar tembea kariakoo, waduka ya hardware, ziko za kila aina hata chini ya bei hiyo, pia maduka ya used powertools zipo za kila aina
Unapata complete na bits?
Maduka ya used yanakuwa wapi?
 
Sasa mzee hii ni mada nyingine, circuit breaker ikiwa ina trip cha kwanza zima kila kitu na chomoa kila kitu ambacho kimeunganishwa kwenye umeme isipotrip jua moja ya kifaa kina short circuit, iki trip jua mfumo wako wa umeme una short so mwite fundi aje na kifaa flan cha kutafuta short/leakage
Kile kinachowaka taa na kupiga sauti? Kile hata wewe waweza nunua

Mafundi wakija wataanza story nyingi
 
Tujifunze vitu vidogovidogo, si lazima kila kitu tuite mafundi.
Youtube kuna watu wanafanya mambo wenyewe hadi raha.
Mf ukitaka weka sehemu za siri chumbani fanya mwenyewe hata kama itatumia miezi 2 mafundi wakimaliza finishing yao, ingia anza na yako
 
Ndg,hivi vifaa ni kwa sisi BUSHMEN....kuna wenzetu hata nyundo hajawahi iona na wala hana mpango huo....vifaa ni muhimu ila pia mazingira yana ~determine!
 
Baadhi ya Hivi vitu nilivikuta kwa ndugu yangu ni askari,nilishangaa na kumuuliza "kwani umeacha kazi yako ya awali(uaskari) na kuwa fundi?" alijibu kwa kuniuliza swali pia "kwahyo feni likilegea nikaazime spana kwa jirani au niite fundi?" sikuendelea kuuliza na sasahivi nimeanza kununua kimoja kimoja.
 
22. Condom na Kilainishi narudia tena Condom na Specific Lubricant
Kuna dharula(Chance due to opportunity available Especialy kipind hiki Wanawake wenzangu hali ngumu ya maisha) sometimes zinajitokeza Fursa waweza tumia Kumung'unya without damage your family.

23. Solar Power.
Itakusaidia hasa taa za nje za Security kwa siku zote za maisha Yako hapo nyumban. Taa Za ndan unaweza tumia Umeme na ukaMinimize Cost kwa Taa za Nje kwa kutumia Solar
Hv yale mafuta ya nazi yanaweza kutumika kama kilainishi.?
 
Back
Top Bottom