Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Sio kila mtu anaweza kumiliki mguu wa kukuKuna aliyerecommend kuwa na mguu wa kuku ndani ndio kiboko ya wezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila mtu anaweza kumiliki mguu wa kukuKuna aliyerecommend kuwa na mguu wa kuku ndani ndio kiboko ya wezi
Safi kijana....Kwa wanaume wenzangu habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kama nilivyoitambulisha hapo juu. Ikiwa una familia au unaishi bachelor tafadhali zingatia hili linakihusu.
Nyumbani kwako hakikisha mwanaume hukosi essential tools kadhaa kwa ajili ya kupunguza changamoto ndogo ndogo ukizingatiwa wewe ni mwanaume, familia nzima itakutegemea wewe. Vifaa muhimu kabisa hutakiwi kukosa kwako ni kama ifuatavyo:
1. Tester ya umeme. Hakikisha hiki kifaa hukosi kwako, kitakupunguzia ajali kwako za umeme kwa kutambua wapi kuna leakage ya umeme pia itakusaidia ku repair issue ndogo ndogo zinazohusiana umeme kwako, imagine hata kubadilisha holder ya balbu ya taa chumbani kwako uende kumwita fundi aingie chumbani kwako na mkeo.
2. Nyundo ndogo. Vifaa vingi ndani ya nyumba vimeundwa kwa misumali, sasa hata kugongea msumali ulio loose ushindwe?
3. Screw driver. Wengine wanaiita "bisibisi" siku hizi kuna set hata machinga wanaziuza itakusaidia hata kukaza nati ya kitasa chako cha chumbani
4. Panga. Licha ya kazi nyingine ni silaha pia.
5. Jembe. Kila mtu anajua kazi yake
6. Shoka, sururu, kwanja hii inategemea na mazingira yako
7. Tool box, sio lazima liwe special weza tengeneza la mbao au chuma, hifadhi powertools zako.
8. Drills, siku hizi kuna simple drills zinauzwa madukani tena za kuchaji ambayo una regurate speed unaweza tumia kama drill au hata kama screw driver, bei yake inategemea ila ni tool muhimu sana, imagine chumban kwako sasa hivi ukitaka tundika tv ukutani unafanyaje? Utamwita fundi chumban kwako? Kuitumia ni rahisi sana tena YOUTUBE WANAFUNDISHA.
9. Spana. Hapa si lazima uwe na set nzima angalau hata ile adjustable ambayo inaweza fanya kazi kwenye nati tofauti tofauti.
10. Koleo (pliers) siku hizi zipo zenye kazi hadi 4 ndani ya moja
11. Chepe. Hata kuzoa taka ndani ya nyumba uweze, usishindwe hata chimba shimo la taka
12. Reki. Usiwe kila siku wa kuazima reki ya sh 5000
13. Baiskeli. Hii kwa mazoezi, kama nafasi yako ni ndogo siku hizi zipo unazoweza kuzikunja na kuhifadhi sehemu ndogo.
14. Misumari, akiba ya misumali saizi tofauti tofauti itakusaidia repairs zisizotarajiwa
15. Air pump yoyote hata ya mkono. Kama unamiliki chombo chochote cha usafir kilicho na tire ya kujaza upepo usikose hii kitu, imagine umeamka pikipiki au gar imepungua sana upepo utafanyaje? Ndio wamwita fundi? Jaza upepo ukusogeze kwenye tire services
16. Torch. Kazi ya tochi inajulikana kuna wenzetu hata tochi ya battery hana, dharula haina hodi
17. Mashine ya kunyolea (homecut). Kama una watoto hakikisha una mashine yako, weekend watoto unawanyoa mwenyewe, hii inaongeza mapenz ya baba na watoto.
18. Msumeno, yes kwenye toolbox yako uwe na msumeno mdogo hata ule wa 5000 utakusaidia siku moja
19. Mzani, hata ule simple wa spring unaoishia kilo 5 wa bei ndogo sana, kuna siku utakupunguzia kazi hapo kwako.
20. Toroli, kama unaishi nje ya mji toroli muhimu sana kwa shughuli ndogo ndogo nyumbani, usipende kila kitu kubeba utapata madhara ya mgongo.
21. Extension ya umeme, yes kaa na extension ya ziada ya umeme, kuna siku utahitaji kuliko kwenye wagongea majiran upate fedheha.
Kwa mwingine anaeweza endeleza list, share nasi
False negative,false positiveKwa sera ya afya ya tanzania, rapid test ambayo mtu anaweza ji test nayo ni ile ya kutumia mate tu, hizi zingine zinatakiwa kutumiwa na mtaalamu wa afya tu, tumia at your own risk, usisahau kuna forced positive na forces negative, imagine unampima ikasoma neg kumbe ni positive
Maana ya carrier ni anao na vipimo vinasoma fresh ila yeye havimzuruImagine siku umekutana na HIV carrier, amaye yeye anasambaza tu ila kipimo ni neg... Kama utaamua condomize just condomize mzee
Yaaah man atleast japokuwa ushahid wa computer huwa haufutiki ila atleast...Siri nyingi zetu tunaziacha stationery maana huwa hazifutwi, mimi huwa najitahidi kuhakikisha zimefutwa ingali niko pale ndipo niondoke
Mbaya zaidi ni unasahau kumwambia afute kule kwenye recycle bin hvy mambo yanakuwa n yaleyale 😂Siri nyingi zetu tunaziacha stationery maana huwa hazifutwi, mimi huwa najitahidi kuhakikisha zimefutwa ingali niko pale ndipo niondoke
22. Condom na Kilainishi narudia tena Condom na Specific LubricantKwa wanaume wenzangu habari za muda huu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika kama nilivyoitambulisha hapo juu. Ikiwa una familia au unaishi bachelor tafadhali zingatia hili linakihusu.
Nyumbani kwako hakikisha mwanaume hukosi essential tools kadhaa kwa ajili ya kupunguza changamoto ndogo ndogo ukizingatiwa wewe ni mwanaume, familia nzima itakutegemea wewe. Vifaa muhimu kabisa hutakiwi kukosa kwako ni kama ifuatavyo:
1. Tester ya umeme. Hakikisha hiki kifaa hukosi kwako, kitakupunguzia ajali kwako za umeme kwa kutambua wapi kuna leakage ya umeme pia itakusaidia ku repair issue ndogo ndogo zinazohusiana umeme kwako, imagine hata kubadilisha holder ya balbu ya taa chumbani kwako uende kumwita fundi aingie chumbani kwako na mkeo.
2. Nyundo ndogo. Vifaa vingi ndani ya nyumba vimeundwa kwa misumali, sasa hata kugongea msumali ulio loose ushindwe?
3. Screw driver. Wengine wanaiita "bisibisi" siku hizi kuna set hata machinga wanaziuza itakusaidia hata kukaza nati ya kitasa chako cha chumbani
4. Panga. Licha ya kazi nyingine ni silaha pia.
5. Jembe. Kila mtu anajua kazi yake
6. Shoka, sururu, kwanja hii inategemea na mazingira yako
7. Tool box, sio lazima liwe special weza tengeneza la mbao au chuma, hifadhi powertools zako.
8. Drills, siku hizi kuna simple drills zinauzwa madukani tena za kuchaji ambayo una regurate speed unaweza tumia kama drill au hata kama screw driver, bei yake inategemea ila ni tool muhimu sana, imagine chumban kwako sasa hivi ukitaka tundika tv ukutani unafanyaje? Utamwita fundi chumban kwako? Kuitumia ni rahisi sana tena YOUTUBE WANAFUNDISHA.
9. Spana. Hapa si lazima uwe na set nzima angalau hata ile adjustable ambayo inaweza fanya kazi kwenye nati tofauti tofauti.
10. Koleo (pliers) siku hizi zipo zenye kazi hadi 4 ndani ya moja
11. Chepe. Hata kuzoa taka ndani ya nyumba uweze, usishindwe hata chimba shimo la taka
12. Reki. Usiwe kila siku wa kuazima reki ya sh 5000
13. Baiskeli. Hii kwa mazoezi, kama nafasi yako ni ndogo siku hizi zipo unazoweza kuzikunja na kuhifadhi sehemu ndogo.
14. Misumari, akiba ya misumali saizi tofauti tofauti itakusaidia repairs zisizotarajiwa
15. Air pump yoyote hata ya mkono. Kama unamiliki chombo chochote cha usafir kilicho na tire ya kujaza upepo usikose hii kitu, imagine umeamka pikipiki au gar imepungua sana upepo utafanyaje? Ndio wamwita fundi? Jaza upepo ukusogeze kwenye tire services
16. Torch. Kazi ya tochi inajulikana kuna wenzetu hata tochi ya battery hana, dharula haina hodi
17. Mashine ya kunyolea (homecut). Kama una watoto hakikisha una mashine yako, weekend watoto unawanyoa mwenyewe, hii inaongeza mapenz ya baba na watoto.
18. Msumeno, yes kwenye toolbox yako uwe na msumeno mdogo hata ule wa 5000 utakusaidia siku moja
19. Mzani, hata ule simple wa spring unaoishia kilo 5 wa bei ndogo sana, kuna siku utakupunguzia kazi hapo kwako.
20. Toroli, kama unaishi nje ya mji toroli muhimu sana kwa shughuli ndogo ndogo nyumbani, usipende kila kitu kubeba utapata madhara ya mgongo.
21. Extension ya umeme, yes kaa na extension ya ziada ya umeme, kuna siku utahitaji kuliko kwenye wagongea majiran upate fedheha.
Kwa mwingine anaeweza endeleza list, share nasi
Safi, kwangu kila chumba kina mduno wa solar power ndogo tu ya watt 10 ya taa incase tanesco wakifanya yao22. Condom na Kilainishi narudia tena Condom na Specific Lubricant
Kuna dharula(Chance due to opportunity available Especialy kipind hiki Wanawake wenzangu hali ngumu ya maisha) sometimes zinajitokeza Fursa waweza tumia Kumung'unya without damage your family.
23. Solar Power.
Itakusaidia hasa taa za nje za Security kwa siku zote za maisha Yako hapo nyumban. Taa Za ndan unaweza tumia Umeme na ukaMinimize Cost kwa Taa za Nje kwa kutumia Solar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee list n ndefu sanaKwani unataka kufungua hardware?
22. RUNGU KUBWA - Hilo litakusaidia kupambana na wavamizi iwe binadamu au wanyama km nyoka na wengineoKwa mwingine anaeweza endeleza list, share nasi
Mwiko wa nini tena ? Ule wa kuchapia nyumba au kusongea ugali na wali ?Pia hakikisha haikosi mwiko nyumban kwako.