Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Itakuwa wanajiandaa kufungua chuo Cha veta😀
Hivyo vitu ni muhimu sana aisee kama ilivyomuhimu kwa mwanaume kujua,
1.ufund magari kidogo
2.plumbing kidogo
3.umeme kidogo
4.kupaka rangi kidogo
5.ufundi compyuta kidogo
Kuna vitu technical ukivijua kazi ndogo ndogo za nyumbani sio lazima uite watu... And nimekumbuka lazima uwe na printer na computer sio hata document zako za siri unaenda kuprint stationery ni upuuz... Alafu vitu vingi alivyotaja jamaa gharama yake haizid laki mbili...
 
Ushawah pigwa shoti ya umeme kwenye bomba la maji (hasa wale wanaoishi nyumba za kizamani) ushawah pigwa shot na bilika la maji? Watua ukiwa na tester unaweza jua bilika la maji lina umeme au laaah, taa haiwaki au socket ya umeme au extension ya umeme haipitishi umeme cha kwanza kabla ya kwenda nunua nyingine unatest kwa tester, unatest kwenye fuse kabla na baada ya fuse bas utajua kumbe ni fuse au line haina umeme, utanunua taa mpya kumbe shida sio taa
Umakini wa kutumia vyombo vinavyotumia umeme unatakiwa, epuka sakafu yako kuwa na unyevu nyevu ama wewe binafsi kuwa na mikono iliyoloa utumiapo vifaa hivyo. Ili hayo yasitokee hakikisha nyumba yako ina protection switch gears na zinafanya kazi ipasavyo
 
Sasa mzee hii ni mada nyingine, circuit breaker ikiwa ina trip cha kwanza zima kila kitu na chomoa kila kitu ambacho kimeunganishwa kwenye umeme isipotrip jua moja ya kifaa kina short circuit, iki trip jua mfumo wako wa umeme una short so mwite fundi aje na kifaa flan cha kutafuta short/leakage
Haya ndio maelezo niliyokua nayahitaji ya kwamba kuwa na tester hakukuhakikishii kutatua changamoto endapo huna idea ya umeme
 
Haya ndio maelezo niliyokua nayahitaji ya kwamba kuwa na tester hakukuhakikishii kutatua changamoto endapo huna idea ya umeme
Tester haina lazima uwe na idea na umeme bwana, kuwa na tester kwako inaonesha unajali, umeme ulipohuwezi uhisi wala kuuona kwa macho kale ka tester ka sh 4000 kana weza kukuokoa
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    10 KB · Views: 4
Ushawah pigwa shoti ya umeme kwenye bomba la maji (hasa wale wanaoishi nyumba za kizamani) ushawah pigwa shot na bilika la maji? Watua ukiwa na tester unaweza jua bilika la maji lina umeme au laaah, taa haiwaki au socket ya umeme au extension ya umeme haipitishi umeme cha kwanza kabla ya kwenda nunua nyingine unatest kwa tester, unatest kwenye fuse kabla na baada ya fuse bas utajua kumbe ni fuse au line haina umeme, utanunua taa mpya kumbe shida sio taa
Niliwahi kununua taa(bulb) mpya nikizani ndio tatizo kumbe haikuwa hivyo.

Kwa nilitaka kibadili taa, taa A niipeleke sehemu B na kinyume chake.

Baada ya kufanya hivyo zote zikagoma kuwaka, nikarudia tena, zikagoma. Zikazirudisha sehemu zao za mwanzo, zikagoma. Nikafikiri zimeungua. Nikachukua uamzi wa kwenda kununua taa mpya.

Baada ya kurudi nikaiweka taa mpya, nikajaribisha ikawaka. Ila nikawa na doubt kwanini zile za mwanzo zimegoma, nikasema ngoja nijaribu kuziweka tena. Nikaweka zikawaka, daahh, kumbe mwanzoni wakati wa kuzibadili sikuziweka vizuri zijishikishe kwenye soketi yaani zilikaa upande ndio zikagoma kuwaka. Nikajilaumu kwa kutohakikisha jambo, nikaishia kuitunza taa mpya niliyoinunua.

Kutest na kujiridhisha kama kitu kimekaa vizuri sehemu yake ni muhimu sana
 
Hivyo vitu ni muhimu sana aisee kama ilivyomuhimu kwa mwanaume kujua,
1.ufund magari kidogo
2.plumbing kidogo
3.umeme kidogo
4.kupaka rangi kidogo
5.ufundi compyuta kidogo
Kuna vitu technical ukivijua kazi ndogo ndogo za nyumbani sio lazima uite watu... And nimekumbuka lazima uwe na printer na computer sio hata document zako za siri unaenda kuprint stationery ni upuuz... Alafu vitu vingi alivyotaja jamaa gharama yake haizid laki mbili...
Siri nyingi zetu tunaziacha stationery maana huwa hazifutwi, mimi huwa najitahidi kuhakikisha zimefutwa ingali niko pale ndipo niondoke
 
Ngazi usisahau mkuu n muhimu mnooo
Wengi wetu tukimaliza ujenzi ngazi unamwachia fundi aende nayo as if nyumba yako haitakuja kuwa na marekebisho tena, baada ya mwaka unaanza ikumbuka ngazi yako
 
Usisahau sindano na nyuzi ya kushonea viatu / nguo, msumeno wa mbao au chuma..
 
Kwa sera ya afya ya tanzania, rapid test ambayo mtu anaweza ji test nayo ni ile ya kutumia mate tu, hizi zingine zinatakiwa kutumiwa na mtaalamu wa afya tu, tumia at your own risk, usisahau kuna forced positive na forces negative, imagine unampima ikasoma neg kumbe ni positive
Siyo force ni false mkuu
 
Back
Top Bottom