Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Kwa wanaume. Hakikisha hukosi hivi nyumbani kwako

Condoms ndio the most powerful tool of all, hizo power tools zingine ndio zifuate.. Bila condoms, ukafa utatumia hizo power tools zako, Condoms kwanza, uhai kwanza, afya kwanza, ndio utumie hizo zana zingine..

Edit your post plz, 1: Condoms

Alafu zingine zifuate.
Naongelea tools sio medical supplies siku nyingine nitakuja na uzi wa medicap supplies ipi ukae nayo home na ntawaelezeeni matumiz yake
 
Screenshot_20230330-115931.png
 
Kwa kuwa sina makazi rasmi, mimi nina Sindano ya Viatu pamoja na uzi.

Narepare viatu vyangu na vya mke wangu mimi mwenyewe, mara nyingine hadi majirani wanaleta viatu vyao nawashonea.

Hivi vifaa vilivyotajwa nitakuwa nanunua kidogo kidogo kulingana na mahitaji husika.
 
Kitendo cha kujishonea viatu vyako mwenyewe kwa muda wako mwenyewe wewe ni DIY enthusiast
 
Aaah! kwahiyo huu uzi ni wa wafuga kuku na mafundi?
Sio lazima uwe na vitu vyote chagua panga,mkuki,au sime..Siku wezi waje wakubananishe ukiangalia kushoto hauna panga ukiangalia kulia hauna mkuki na wezi wa sasa hivi walivyokuwa hawana adabu wanamkula mkeo uku unaona..ndio utaelewa umuhimu wa kuwa na hivi vitu.
 
Nimekutana na jamaa anako haka kakifaa geto alinunua kwa machinga barabarani, kana nyundo, pliers, screwdriver, kisu nk kanamsaidia ishu ndogo ndogo
Daah, kazuri sana. Ningekapata hata sasa ningekachukua.
 
Ni kwel kwa umeme hujaambiwa utafute leakage. Kinachosemwa hapa unaona socket yako imekufa unaenda tronic unackua mpya.ndio hata kubadilisha tu ikutoke buku tano? Unashindwaje kujua blue green na hata hivyo pia uite fundi?
Mwambie hata kama hajui rangi za nyaya kitendo tu cha kuwa na tester utajua uanzie wapi
 
Ni kwel kwa umeme hujaambiwa utafute leakage. Kinachosemwa hapa unaona socket yako imekufa unaenda tronic unackua mpya.ndio hata kubadilisha tu ikutoke buku tano? Unashindwaje kujua blue green na hata hivyo pia uite fundi?
Soma alichoelezea juu ya tester
 
Issue ya leakage za umeme ni ngumu huwezi itatua bila fundi
Ushawah pigwa shoti ya umeme kwenye bomba la maji (hasa wale wanaoishi nyumba za kizamani) ushawah pigwa shot na bilika la maji? Watua ukiwa na tester unaweza jua bilika la maji lina umeme au laaah, taa haiwaki au socket ya umeme au extension ya umeme haipitishi umeme cha kwanza kabla ya kwenda nunua nyingine unatest kwa tester, unatest kwenye fuse kabla na baada ya fuse bas utajua kumbe ni fuse au line haina umeme, utanunua taa mpya kumbe shida sio taa
 
Nimejaribu kufikiri huyo mwanaume awe kapanga chumba kimoja halafu ana hivyo vifaa vyote!

Si atakuwa analala stoo sasa.
Ishi kulingana na mazingira.

Mazingira yako ndio yakuongoze uwe na vifaa gani kati ya hivi kutokana na uhitaji wake
 
Circuit breaker ikitrip kila unapoiwasha utafanyaje ndugu
Sasa mzee hii ni mada nyingine, circuit breaker ikiwa ina trip cha kwanza zima kila kitu na chomoa kila kitu ambacho kimeunganishwa kwenye umeme isipotrip jua moja ya kifaa kina short circuit, iki trip jua mfumo wako wa umeme una short so mwite fundi aje na kifaa flan cha kutafuta short/leakage
 
Sio lazima uwe na vitu vyote chagua panga,mkuki,au sime..Siku wezi waje wakubananishe ukiangalia kushoto hauna panga ukiangalia kulia hauna mkuki na wezi wa sasa hivi walivyokuwa hawana adabu wanamkula mkeo uku unaona..ndio utaelewa umuhimu wa kuwa na hivi vitu.
Hahahahahah! umeniongezea kazi, mkuki tena...!! ila jamaniii
 
Back
Top Bottom