Kwa wanaume kila kitu ni ghali, si nguo, viatu wala mabegi, hatuna pa kupumulia!

Wanaume tumeumbwa mateso mfano chupi zakike ni bukubuku tena zimezagaa ila boxer kwanzia buku 7 nasio common
 
Kuna jamaa kaanzisha thread ya kua alikunywa k_vant Akala na mayai mawili kasema anajamba mashuzi yananuka sana....

Naona mods wamefuta huo Uzi wa huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwanini wamefuta jaman, na alikua anatafuta tiba ya mashuzi
 
Manina🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Huu uandishi wako ni wa kipuuzi mno. Unavyochanganya lugha unaonekana Slay Queen
 
Kuna jamaa kaanzisha thread ya kua alikunywa k_vant Akala na mayai mawili kasema anajamba mashuzi yananuka sana....

Naona mods wamefuta huo Uzi wa huyo jamaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Anatakiwa awatafutie Moderator zawadi yao kwa kuwa wamemsaidia kufuta mashudu yake
 
Mi nakereka sana na hii style ulosema kuwa nguo za kiume wanawake wanavaa afu mwanaume ukivaa unaambiwa wewe ni shoga inaboa na kukera sana.

Hizi nguo mwanaume ukivaa unaambiwa choko wakati ni za kiume.
 
Attachments

  • IMG-20230706-WA0019.jpg
    91.6 KB · Views: 9
  • IMG-20230705-WA0144.jpg
    85.2 KB · Views: 9
  • IMG-20230704-WA0005.jpg
    151.6 KB · Views: 8
  • IMG-20230705-WA0004.jpg
    79.8 KB · Views: 7
  • IMG-20230703-WA0006.jpg
    163.8 KB · Views: 7
  • IMG-20230705-WA0072.jpg
    216.5 KB · Views: 7
  • IMG-20230812-WA0020.jpg
    146 KB · Views: 7
Wanaume tumeumbwa mateso mfano chupi zakike ni bukubuku tena zimezagaa ila boxer kwanzia buku 7 nasio common
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… nimeuliza boxer zile white za CK nimeambiwa kuanzia tatu ni elfu thelasini 30,000 Tzs
 
we ndo umeeleweka Boys tukienda dukani kununua kiatu bei inaho tajwa utaona heri ukakodi shamba utasikia iyo laki na nusuπŸ˜‚
 
Mi nakereka sana na hii style ulosema kuwa nguo za kiume wanawake wanavaa afu mwanaume ukivaa unaambiwa wewe ni shoga inaboa na kukera sana.

Hizi nguo mwanaume ukivaa unaambiwa choko wakati ni za kiume.
Acha tu even dreads are no longer seen as manly Km zaman wanawake washavamia
 
kwa uandishi huu sio ajabu hata unataka haki sawa kwenye mavazi[emoji35][emoji35][emoji35].

kiingereza kingi sana.

Makasiriko mengine ya kike,Binafsi sioni shida kwa mtoa uzi hapo juu.Kama umeelewa imeisha hiyo kama hujaelewa omba msaada mbona rahisi sana mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…