Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Uliyo nayo ifue vaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boxer 12,000 mzeeWanaume tumeumbwa mateso mfano chupi zakike ni bukubuku tena zimezagaa ila boxer kwanzia buku 7 nasio common
Kwel asee bei yashanga mia 5 ila cheni yakiume kwanzia 15 uanaume nikazBoxer 12,000 mzee
Kuna jamaa kaanzisha thread ya kua alikunywa k_vant Akala na mayai mawili kasema anajamba mashuzi yananuka sana....
Naona mods wamefuta huo Uzi wa huyo jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Manina🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbona watu wengi wameona uandishi wa kishoga inamaana gani kwa mleta mada?
Alafu jitahidi sana usilalamike mavazi mwanaume kamili unalialia wakati mtafutaji ni ww. Kama unalalamikia mavazi yako ukiwa na mke ndani tutamnyandua badili tabia na kama unachembe za ushoga kaoshe matco na maji chumvi
Mwache mwanachuo wetu wa mchongo aoneshe kuwa nae anajua kiingereza 😊kwa uandishi huu sio ajabu hata unataka haki sawa kwenye mavazi😡😡😡.
kiingereza kingi sana.
Huu uandishi wako ni wa kipuuzi mno. Unavyochanganya lugha unaonekana Slay QueenJamani sisi wanaume tumechoka kutafuta affordable decent clothes, shoes, bags even designer clothes. It seems watu wanawaza wanawake tu wakidhani hao ndio wakuvaa nguo tu na kupendeza sisi tuwe kama vichaa tu.
Designers ndio kabisa, walishajiweka ku deal na nguo za men but exclusively women; najua wanadhani hivyo sababu wanawake wengi are obsessed na kubadili badili na pia wengi wanahudumiwa na wanaume lakini na wanaume pia need to look good na sana sana of the working class ila sasa nguo za wanaume, viatu ni bei sana, hata nguo za watoto wa kiume pia.
Many clothes shops cater to women tu hadi inakera and it can get super boring. Kama design fulani wakivaa wanaume halafu wanawake wakaiga, wanaume tukiendelea kuzivaa tu basi basi tujiandae kuambiwa tumehama upande, INACHOSHA!
We need affordable designer clothes, za daraja la kawaida pamoja viatu vya bei nafuu kwa wanaume wa kawaida.
Ha ha ha ha Mbona umekata tamaa mkuu.?Jamani 🤔
Anatakiwa awatafutie Moderator zawadi yao kwa kuwa wamemsaidia kufuta mashudu yakeKuna jamaa kaanzisha thread ya kua alikunywa k_vant Akala na mayai mawili kasema anajamba mashuzi yananuka sana....
Naona mods wamefuta huo Uzi wa huyo jamaa😂😂😂🤣🤣🤣🤣
😅😅😅 nimeuliza boxer zile white za CK nimeambiwa kuanzia tatu ni elfu thelasini 30,000 TzsWanaume tumeumbwa mateso mfano chupi zakike ni bukubuku tena zimezagaa ila boxer kwanzia buku 7 nasio common
huu mwandiko wa mwalimuNdio vijana wetu hao mkuu, binafsi uandishi huu huwa sipendezwi nao.
we ndo umeeleweka Boys tukienda dukani kununua kiatu bei inaho tajwa utaona heri ukakodi shamba utasikia iyo laki na nusu😂Unapoint Ila shida ni uandishi tu sema ni ukweli nguo za kiume ni gharama kise.nge
Jeans material yale yale quality ile ile Ila Bei ya nguo ya Jeans ya kiume sio sawa na Bei ya Jeans ya kike
Bei ya Suti ya kike sio sawa na Bei ya Suti ya kiume
Viatu vya kike ni very cheap compared na viatu vya kiume
Suruali za kiume hata kushona kwa fundi Bei ni tofauti Mwanamke Bei chini Mwanaume Bei juu kitambaa ni kile kile
Acha tu even dreads are no longer seen as manly Km zaman wanawake washavamiaMi nakereka sana na hii style ulosema kuwa nguo za kiume wanawake wanavaa afu mwanaume ukivaa unaambiwa wewe ni shoga inaboa na kukera sana.
Hizi nguo mwanaume ukivaa unaambiwa choko wakati ni za kiume.
Nimecheka balaa 🤣🤣Sawa mie. Hili neno akitumia mwanaume dah inaleta ukakasi kinoma. Mwanaume unajiita MIE😂🤔🤔
kwa uandishi huu sio ajabu hata unataka haki sawa kwenye mavazi[emoji35][emoji35][emoji35].
kiingereza kingi sana.
Mbona huu ni kama mwandiko wa shoga