Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Muwe mnawajibu vizuri hawa watu huko PM teh teh...
Msiwe mnaangalia Join date ndio mnatoa attention, sio fair hivo hahaha
Si mnaona sasa kaamua kufunguka kwa hasira..
Tatizo sio join date ila story zao huwa zinaboa
unakuta mtu anatuma pm 8 zote salamu
anaanza mambo, unajibu poa anatuma tena mishe vipi unajibu fresh
haishii hapo anarudi tena mambo yanaendaje wangu.....f*ck
cc Vin Diesel lol
Ha ha ha akuuuu usinigombanishe mieteh teh teh teh aiseeeeee....
kwahiyo hata wale ma'elite wa humu ndio wako hivo hivo PM au???
Just curious..
Tatizo sio join date ila story zao huwa zinaboa
unakuta mtu anatuma pm 8 zote salamu
anaanza mambo, unajibu poa anatuma tena mishe vipi unajibu fresh
haishii hapo anarudi tena mambo yanaendaje wangu.....f*ck
cc Vin Diesel lol
Mwambie huyo,mabikra tumejaa sana tu
Duuh.. Acha Kutuyeyusha wewe mwenye Bikra Hajitaj.i. Ila wenye Rambo ndo wanajisifia wana bikra.
nina rambo we unamuwa... Kanyaga twende
naogopa nitakupwelepweta bure
1.Tuna sifa zote ndio maana hata ukikutana na huyo wa mtandaoni anakukubali,hata nao wana vigezo vyao hawakubali kila MTU.
2.Busy Sana,wengine tumejiwekea marufuku ya kudate kazini au mtaani.
3.Wengine tunapoishi unapishana na magari tu 80% yana vioo tinted hivyo ni ngumu kugongana na wanawake barabarani.
4.Jibu lipo namba 2 na 3
5.Sio udomo zege kwasababu hata wa mtandaoni ukikutana nae inabidi uongee,tena points coz u have only one shot!
Mapenzi popote hawa wa mtandaoni ndio hao hao wako mtaani au unafikiri wanatoka Mars?!
wanaume wengine wanaotafuta wanawake mitandaoni ni waongo, na ukimkuta alie mkweli basi ujue ana tabia fulani ambazo huko mitaani hawezi kupata mwanamke
It is always interesting to meet some one new you never met before! Inachosha sanaa kutoka na watu unaowajua sababu unawajua tayari si loloye si chochote hawana jipya!
1.Tuna sifa zote ndio maana hata ukikutana na huyo wa mtandaoni anakukubali,hata nao wana vigezo vyao hawakubali kila MTU.
2.Busy Sana,wengine tumejiwekea marufuku ya kudate kazini au mtaani.
3.Wengine tunapoishi unapishana na magari tu 80% yana vioo tinted hivyo ni ngumu kugongana na wanawake barabarani.
4.Jibu lipo namba 2 na 3
5.Sio udomo zege kwasababu hata wa mtandaoni ukikutana nae inabidi uongee,tena points coz u have only one shot!
Mapenzi popote hawa wa mtandaoni ndio hao hao wako mtaani au unafikiri wanatoka Mars?!
Mmmmhhhhmm .. Subiri aliyenichumbia aje kujibu kwa maana I think inamuhusu yeye....Thanks..
Unaweza kutafuta Manzi mitandaoni brother, au hapa unazungumzia ku-fall kwa Manzi unayekutana nae kupitia mitandao?
Sweetheart kumbe na wewe wa kwako ulimpatia humu humu?
Jibu utapata kwa.wanawake wanao.patikana umu coz wanaliwa na kuachwaKwa wanaume mnaotafuta wanawake humu,naomba kujua mnakabiliana na changamoto gani huko nje hadi mje kutafta mabinti humu?
Maana sielewi inakuaje hadi unakosa mwanamke huko unakoishi hadi unakuja kulia humu kwamba upweke unataka kukuua.
Mbona mabinti ni wengi sana na wanapatikana kwa urahisi au mimi tu ndio naona hivyo? Tatizo ni nini?
je;
1. Mmekosa sifa za mabinti mnaoishi/kusoma /kufanya nao kazi?
2. Mko bize sana na kazi/shule hadi mnakosa muda wa kusocialize na watu[wanawake] hadi kuwapata?
3. Mabinti hawapatikani huko mnakoishi[wachache na wameshachukuliwa na wengine]?
4. Hao mnaoishi,soma au kufanya nao kazi hawana vigezo vyenu?
5. Udomo zege?[kama ndio hivyo hizi mitandao zisingekuepo mngefanyaje?mngebaka?
Kwa kweli sielewi hasa mwanaume unakosaje binti huko hadi uje kulia upweke hapa. Kumbuka: simaanishi kwamba wa humu hawafai au hawatakiwi,ndio hao hao tunaoishi nao.
Duuh una good eyes to see hongera ..aaha. i just sikutegemea if anyone can see and read my comment .. My dear its a long story aaahhhaa.. but huo ndio ukweli ..By the Grace of God Unakaribishwa harusini.. Thanks..
Hahaha me mmbea hatari
It shall be well with you guys and by the grace of God, we shall witness your everlasting union. Keep on being good