Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Kariibu sana, unanunua dozen 3 kwa bei ya mawakala na ukitaka tukusafirishie unalipia gharama za kuusafirisha kwa basi hapo ulipo. Hakuna sharti zaidi na unaweza kuwasiliana nami kwa namba zangu zipo hapo post namba moja.
Nimevutiwa sana. Ubungo naupata sehemu gani?
 
Nimevutiwa sana. Ubungo naupata sehemu gani?

Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.
 
Kimara - Mbezi - Ubungo = Jack- 0755155782

Jack yupo Kimara Rombo lakini amejitolea kufanya delivery mpaka Mbezi Mwisho na Ubungo.
Nimependa sana sifa zake
Nataka kujaribu
Ntaupataje nipo sinza kijiweni.
 
Nimependa sana sifa zake
Nataka kujaribu
Ntaupataje nipo sinza kijiweni.

Sisi tupo Sinza kwa Remmy, mtaa wa chipukizi (Loliondo Pub) na ule unaokutana na Mtaa mpya uliotiwa lami (unaoenda lion). 0756803528 Mzee Abdul
 
Tafadhali nipatie ufafanuzi kwenye kotesha nywele, ni baadhi ya maeneo ya kichwa ndiyo hayana nywele, hasa hasa kwa mbele na pembeni pembeni. Je bado nahitaji kupaka dawa kichwa chote hadi kwenye nywele?
 
Nna shida na ngoz yangu...na niko mwanza ntaipataje?
 
Dozen mmoja inauzwa tsh ngapi? na inakuwa na mikebe mingapi?
 
Nitauhitaji ila naomba nianze na sample kwanza je una sample kidogo? Niko Dar.
 
Dada kwa temeke nitakupata wapi? pia ungetoa maelekezo mazuri jinsi gani ya kutumia means unapaka unakaa kwa muda then unaosha,au baada ya hapo unaweza paka mafuta yoyote na pia ni vipi unakua,je walioungua na cream inawafaa?
 
babake nasreen

Matumizi yake ni, unauchanganya na maji safu na kuufanya mzito kama ugali laini, au kama hinna nzito kisha unaupaka ama kichwani ama usoni ama mwilini na unauacha mpaka ukauke ndiyo unanawa au kukoga.

Temeke jaribu namba hii 0719342301 au piga kwa wakala wetu atakuelekeza zaidi 0773055144
 
Jaman karibun kwa wale wa MWANZA wanaohitaji Udongo tuwasiliane kwa 0763772636 karibun sana
 
Hahaha...ila we kiɓoko, kuotesha vipara umeshindwa sasa hivi unasoftisha ngozi..hatari.
 
Ninavyofahamu kitu asili huwa kinatoa matokeo baada ya Muda mrefu, inakuaje huo udongo asili utoe matokeo kwa siku ya kwanza ya matumizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…