FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Mwanaune analainisha ngozi ili iweje? Kwa faida ya nani/?
Tena mwanamme ndiyo anatakiwa ailinde ngozi kwa kuwa inapata misukosuko mingi majiani huko.
Hujawaona wanaume wanafanya scrubbing, masking, massage, unafikiri kwanini?
Nani anaetaka jijadume lenye ngozi kama ya kenge? Watu wanataka mwanamme mtanashati, anaependeza, mwenye mvuto.
Wewe unaonesha hata kunyoa hunyoi! Unanchekesha!
