Kuna wengi wameuliza mambo mengi kuhusu
Zainab's Natural Super Clay, tutayajibu hapa maswali yanayojirudia mara kwa mara:
1) Bei ya rejareja.
Bei ya rejareja ni kuanzia mkebe mmoja (1 pack) mpaka kumi na moja (11 packs) kwa Shillingi 2,000 kwa kila mkebe.
2) Bei ya jumla.
Bei ya jumla ni kuanzia mikebe 12 (1 dozen) na kuendelea kwa bei ya 1,500 kwa kila dozen.
3) Usafirshaji nje ya Dar.
Tunaweza kupeleka mzigo mpaka stendi ya mabasi ya kwenda nje ya Dar, kwa gharama za mteja, na tutachaji gharama zile zile zitakazokuwepo, mfano, kupeleka mzigo Ubungo kwa wateja wa mikoani au Bandarini (kwa wateja Wa Zanzibar) gharama yetu ni Shillingi 2,000. Nauli ya kutoka Dar kufika kwa mteja atailipia mwenyewe mteja mzigo utakapofika kama inakubalika.
*Kwa wale wataotaka tuwasafirishie kwa ndege, gharama ni kama zitakavyokuwa.
4) Malipo
Malipo yote ni kupitia Mpesa kwa namba 0769302206 au cash.
Kama kuna ufafanuzi utahitajika au maswali mengine yoyote, tafadhali msisite kuwasiliana nasi kwa namba 0769302206 au 0756803528 au whatsapp 0689771331 au email
zainabtamimtz@gmail.com au kupitia hapa hapa JF.
Asanteni.
Zainab