Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #61
Bi Zainab, Asalaam Aleykum.
Nimeenda kwa Saira jana nikakuta bidhaa hakuna ameishiwa, vipi mama mbona unatuangusha?
WS.
Samahani sana. Tumeshampelekea jana jioni, ni matatizo ya demand na supply naomba pitia sasa utakuwepo na tunafanya kila njia kutatua hili tatizo la kukosekana bidhaa yetu mteja anapofika kwa mawakala wetu.
Kwa usumbufu uliojitokeza tumemuagiza Bi Saira ukienda akupatie packet moja bila malipo, hiyo kukuomba msamaha, na pia unaweza mpigia akakuletea kama upo Kariakoo.
Asante sana
