Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #101
wa mikoani tukihitaji tunaupata ndanii ya muda gani na kama tunanunua kwa matumizi binafs tuanzae kununua kuanzia pakti ngapi?
Naomba tazama post namba 97 hapo juu kidogo nimeweka namba za wasambazaji wetu mikoani kwa sasa, utaupata kwao. Kama haupo kwenye mikoa hiyo tutakusafirishia kwa gharama zako za usafirishaji. Tunatumai kuongeza wasambazaji kwa mikoa mingine hivi karibuni.
Asante
Zainab