Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

itabidi nimtume mtu hapo sinza kunichukulia huo udongo maana naona una matokeo amazuri kwa ngozi zetu

je na kitu gani kinaweza kuondoa gamba gumu kwenye unyayo wa miguu na kukufanya uwe nyororo dada zainab?

Karibu sana.

Asante
Zainab
 
Miguuni tumia hii Zainabs Natural Super Clay, unaufanya paste kama dawa ya meno unaupaka na kuuwacha mpaka ukauke kabisa miguuni, kila siku. Baada ya wiki uje kutupa matokeo. Utafurahi.

Asante
Zainab
 
Dada Faiza ni mteja wangu wa kwanza humu JF na ninamsifu sana kwa ushauri na mengi anaonipa kupitia pm na ameniahidi Jumamosi atakuja kwangu Sinza anataka "kuupeleka mbele zaidi huu udongo" Ninakuomba nawewe uje kwangu Sinza kwa Remi Jumamosi saa nane ukutane na mimi na Dada Faiza. Sijawahi kumuona kwa sura ninafuraha sana na ninamsubiri kwa hamu.

Nahisi kakosea tu hata mimi ndio kwanza nimeona.

Asante
Zainab

Wala usijali mumy hiyo ilikuwa changamsha jukwaa naona kuna mkevwa mjumbe wa nyumba kumi imemuuma sana akadandia tren.nitakuja tena nitakuwa mteja mzuri sana
 
it seems like you are zainab but sio kesi BTW product ni good kwa kweli,kwa wale watoto/watu wazima wanao tokwa na vipele vya joto hii kitu inaondoa kabisa yale marasharasha.

I am not Zainab Tamim, but no doubt she's got the best product, that's for sure. I vouched to support her all the way. The most amazing thing is, I personally have used highly priced similar foreign products but I dare say, they do not match the quality and effectiveness of her product. I have never met her before but I will meet her soon.
 
Mavitu natural haya, tunayahitaji zaidi sisi wa umri mkubwa, mikunjo yo ngozi yote inaondoka, nikikaa na mtu wa miaka 25 ngozi yangu unaiona wawaaaa ng'warung'waru kuliko yake.

Age is just a number.

Unatumia nn?!
 
Naomba utupie picha yako au ya mteja before and after ili tujue ka unachumbua au sio.
 
Naomba utupie picha yako au ya mteja before and after ili tujue ka unachumbua au sio.

Wazo lako ni zuli sana nitalifanyia kazi, nitafanya kila njia niombe mteja kijana mwenye matatizo ya chunusi usoni nimpige picha kabla na baada ya kutumia.

Asante
Zainab
 
asante nikija hapo utanipa zote nione miguu yangu itaakaje maana mm ni mwanamke ati
Miguuni tumia hii Zainabs Natural Super Clay, unaufanya paste kama dawa ya meno unaupaka na kuuwacha mpaka ukauke kabisa miguuni, kila siku. Baada ya wiki uje kutupa matokeo. Utafurahi.

Asante
Zainab
 
Back
Top Bottom