Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Mi nipo hapa chalinze, pwani, ila hua naenda sana dar. Ni sh ngapi kwa bei ya k/koo?

Rejareja haizidi 3,500 (Recommended Retail Price) kutoka kwa wasambazaji, na ukinuuwa kwa jumla haizidi 2,500 (dazeni moja na kuendelea).

Kwa maelezo zaidi au punguzo la bei wasiliana na:

Kwa sasa Aunt Zainabs Natural Super Clay inapatikana sehemu nyingi Dar.

Dar es Salaam

Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi - 0713422069 na Joyce Mchagga - 0719024967.Pemba Street House No 12 Karibu na Msimbazi Police.
(
Temeke = Latifa au Mama Latifa - 0652717332 / 076960627

Tabata, Kinyerezi, Ubungo External = Kinda Balewa -0715868001 & Gaudencia Martin 0713653574

Sinza = Aunt Zainab - 0769302206

(Ukinunuwa direct kutoka Sinza inakuwa 2,000 retail promotion price.)

gari ni gamet! na lini mnaweza kunitumia? na nitauziwa kwa bei hiyo hiyo au?
 
Samahani kwa kuuliza, vipeperushi mnavyo vya kutosha au agent anafanya ubunifu?

Swali zuri sana, bado hatujaanza vipeperushi. Wasambazaji wafanye ubunifu lakini kabla ya kuvigawa vipeperushi tungependa tuvione na tuvi approve pia tuwe na rekodi.

Asante
Zainab
 
Morogoro

Wateja wa Morogoro tunategemea udongo utapatikana hapo Jumatano. Tutawajulisha wapi mtaupata msambazaji wetu atakapotujulisha akiupokea mzigo

Asante
Zainab
 
attachment.php
 
Tunafuraha kuwajulisha kuwa, mmoja wa wateja wetu ana aleji ya ngozi ambapo hawezi kutumia sabuni za manukato na alikuwa na vipele vidogo dogo mwilini, tukamshauri ajaribu kidogo huu udongo mkononi aone kama utamfanyia aleji. Baada ya kuupaka kwa siku tano mfululizo kidogo mkononi haukumletea aleji na mapele ya pale alipopaka yamepungua sana. Jana ya tatu anaupaka mwilini na amefurahi sana na anasema mapele yanaondoka.

Aunt Zainab's Natural Super Clay si dawa ya aleji bali ni mbadala wa sabuni za manukato kwa wenye aleji na sabuni za manukato.

Tunashauri wenye aleji jaribuni, msijitie moja kwa moja kwanza jaribuni kwani kuna aleji aina nyingi na zinasababishwa na mambo mengi. Tunashauri wenye aleji kwanza wajaribu sehemu ndogo ya mkononi na udongo huu kidogo na wakiona hauna madhara waendelee kuutumia.

Udongo huu ni 100% Natural na haujaongezwa chochote.
 
Zainab usije tu ukawa unaacha mahandaki kwenye upande mmoja wa Tanzania kwa kusomba udongo........:lol:

Hamna agent upande wa Kinondoni na Msasani?
 
Zainab usije tu ukawa unaacha mahandaki kwenye upande mmoja wa Tanzania kwa kusomba udongo........:lol:

Hamna agent upande wa Kinondoni na Msasani?

Ha ha ha ha. Usijali, tunatumia udongo mchache sana hata hakuna athari yoyote hata kwa miaka maelfu ijayo.

Kinondoni na Msasani hatuna msambazaji official wananunua kutokea Sinza kwa sasa.

Dar es Salaam

Ilala / Kariakoo = Raymond Mushi - 0713422069 na Joyce Mchagga - 0719024967.Pemba Street House No 12 Karibu na Msimbazi Police.
(
Temeke = Latifa au Mama Latifa - 0652717332 / 076960627

Tabata, Kinyerezi, Ubungo External = Kinda Balewa -0715868001 & Gaudencia Martin 0713653574

Sinza = Aunt Zainab - 0769302206

(Ukinunuwa direct kutoka Sinza inakuwa 2,000 retail promotion price.)
 
Moja katika swali linaloulizwa sana ni kuhusu Zainab's Natural Super Clay kama ni mkorogo au unachubua rangi.

Zainab's Natural Super Clay si mkorogo wala haichubui wala haibadili rangi yako ya asili, inafanya ngozi yako inakuwa nyororo na yenye kupendeza.

Zainab's Natural Super Clay inasaidia sana wale walioharibika ngozi kwa mkorogo na makemikali, inaondoa mabaka yaliosababishwa na kemikali na inarudisha hali ya ngozi kuwa yenye afya.

Zainab's Natural Super Clay ni 100% asilia (natural).
 
Kwa sasa upo Sinza kwa Remy pale Loliondo uliza Mwajuma wa Loya, atakupatia. Kariakoo unapatikana Saloon ya Bi Saira mtaa wa Nyamwezi na Twiga.

Lakini tunajitahidi kupata mawakala kila sehemu, na ikiwa utalipia gharama za usafiri tutakuletea popote ulipo.

Piga simu 0769302206

Naupataje mwanza???naweza kuchanganya na liwa maana huu nnaotumia now nilikuwa nachanganya na liwa ni wa kimasai
 
Naupataje mwanza???naweza kuchanganya na liwa maana huu nnaotumia now nilikuwa nachanganya na liwa ni wa kimasai

Huu wetu tunashauri usichanganye na kitu mwanzoni, kwa majaribio yetu unafanya kazi vizuri kuliko liwa na tofauti sana na ule wa kimasai.

Jaribu hivi hivi kisha utatueleza.

Mwanza tunategemea utakuwepo huko baada ya siku mbili au tatu. Tutakujulisha wapi pakuupata.
 
Asanteee plz usisahau kunishtua ukifika mwanza
 
Back
Top Bottom