binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Cc. lady nyatu njoo huku mama uone mambo, kesho tufanye kuifata hii product. Btw Zainab Tamim je product yako ina sild katika packeg zake? Nauliza hivi kwa sababu bidhaa inaweza kutoka kwako ikiwa katika ubora ule ule ila ikifika kwa agent akaichakachua hili ni la msingi kuliangalia maana Tanzania kila kitu kinawezekana.
Last edited by a moderator: