Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Cc. lady nyatu njoo huku mama uone mambo, kesho tufanye kuifata hii product. Btw Zainab Tamim je product yako ina sild katika packeg zake? Nauliza hivi kwa sababu bidhaa inaweza kutoka kwako ikiwa katika ubora ule ule ila ikifika kwa agent akaichakachua hili ni la msingi kuliangalia maana Tanzania kila kitu kinawezekana.
 
Last edited by a moderator:

Swali lako zuri sana na tutazingatia ushauri wako. Kwa sasa packet zetu zipo "semi sealed" na hazina security seal. Tunategemea hivi karibuni kuufanyia security seal.

Tunashauri wateja wetu mnunuwe kwa wasambazaji wetu tunaowatangaza hapa mara kwa mara.

Asante
Zainab
 
Kwa wale waliopo Ilala, Dar es Salaam sasa Zainab's Natural Super Clay inapatikana pia:

Ilala kwa Masai Kimako = Mwanahamisi Saloon - 0718775220
 
sh.ngapi aunt huo udongo?

Bei zetu ni 2,000 kwa paketi kwa sasa (promotion). Bei za wasambazaji zitatofautiana na bei zetu za promotion kwa sasa, kwani kuna gharama wanazoingia za usafirishaji na faida yao.

Kwa maelezo yoyote ya ziada wasiliana na Aunt Zainab 0769302206

Tazama post namba moja kuona utaupata wapi kwa karibu.
 
Bei zetu ni 2,000 kwa paketi kwa sasa (promotion). Bei za wasambazaji zitatofautiana na bei zetu za promotion kwa sasa, kwani kuna gharama wanazoingia za usafirishaji na faida yao.

Kwa maelezo yoyote ya ziada wasiliana na Aunt Zainab 0769302206

Tazama post namba moja kuona utautapata wapi kwa karibu.

nnapafahamu ntakuja inshallah
 
asante,hyo elf 2 ni bei ya jumla na kuanzia kiwango gani?

Hiyo ni promotion retail (reja reja) kwetu (Sinza) direct, kwa wasambazaji inaongezeka kufidia transportation na mihangaiko yao.
 
Assalaam Alaykum bi Zainab,

Kwanza hongera kwa kuiona fursa na kuichangamkia.
Pili pia hongera kwa kufanya promotion humu bila kuchoka maana mimi wenyewe niiri nilikuwa naupita tu huu uzi kila siku nikidhani "ndio walewale" akina forever nini sijui.

Leo baada ya kuusoma nimevutiwa kumnunulia waubani na inshaallah tunaweza fanya biashara.
 
Tuhongere sote. Ni udongo wetu wa Tanzania 100% na sasa tunafuraha kusema waliokwisha utumia wanasema ni bora kuliko wanaonunua kutoka nje.

Fursa za biashara zipo na karibu sana. Soma post namba moja kujua wapi utaupata kwa karibu kwa sasa.

Asante
Zainab
 
Kwa kuwa Aunt Zainab's Natural Super Clay ina matumizi mengi sana kwenye ngozi, tunaomba wale wote wenye maswali yao kuhusu matumizi yake au vipi wautumie wasisite kutuuliza kwani kila siku tunagundua njia mbadala za matumizi ya huu udongo mzuri.

Unaweza kututumia PM tukakujibu au whatsapp 0689771331.

Baadhi ya matumizi ni kama tulivyoeleza kwenye post namba moja lakini kua matumizi mengine kama vile kukata harufu ya jasho kali mwilini, chunusi, kama uso au mwili wako ni mkavu, au kama uso au mwili wako ni wa mafuta.

Usisite kutuuliza, kuna matumizi mengine mengi ambayo si rahisi kuyaweka yote kwa mara moja. Tafadhali tuulize chochote tutajitahidi kujibu kiufasaha kadiri ya uwezo wetu.
 
Asanteee plz usisahau kunishtua ukifika mwanza

Mwanza

Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Mwanza. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.

Mama Alex au Bonge - 0768545736.
 
Mwanza

Sasa udongo wetu Aunt Zainab's Natural Super Clay unapatikana Arusha. Huu udongo ni 100% wa asili, haujaongezwa chochote na moja ya matumizi ni kama liwa lakini una ubora zaidi ya liwa.

Mama Alex au Bonge - 0768545736.

brenda18 upo wapi umejibiwa huku...
 
Last edited by a moderator:
Wateja wa Dodoma mtatusamehe sana bidhaa imekwisha haraka, tunahakikisha leo hii bidhaa nyingine inafika kwa Bi Rukia haraka iwezekanavyo. Hivi kijana wetu yuko Ubungo anatafuta usafiri wa haraka kuhakikisha bidhaa inaondoka asubuhi hii.

Ni matatizo ya demand and supply ambayo tunahakikisha hayajitokezi tena.

Asante
Zainab
 
Back
Top Bottom