Mwanaune analainisha ngozi ili iweje? Kwa faida ya nani/?
Mwanaune analainisha ngozi ili iweje? Kwa faida ya nani/?
Mwanaune analainisha ngozi ili iweje? Kwa faida ya nani/?
Kwa faida ya mkewe, sio mwanaume ngozi ngumu kama mamba
Mwanaune analainisha ngozi ili iweje? Kwa faida ya nani/?
Nimeupenda jinsi ya kuupata sasa
Unaweza utumia kama shaving cream na husaidia mambo mengi tu:
- Heals and regenerates skin tissue
- Draws out toxins
- Treats acne (prevents breakouts and helps clear up acne)
- Unclogs and shrinks pores
- Prevents blackheads
- Reduces appearance of scars
- Excellent natural exfoliator
- Evens out skin tone
- Leaves skin feeling softer
- Leaves your face glowing!
Sawa, kwa iyo mmewalenga Wateja wenye ngozi ngumu ka ya mamba?
Kwa sasa upo Sinza kwa Remy pale Loliondo uliza Mwajuma wa Loya, atakupatia. Kariakoo uanapatikana Saloon ya Bi Saira mtaa wa Nyamwezi na Twiga.
Lakini tunajitahidi kupata mawakala kila sehemu, na ikiwa utalipia gharama za usafiri tutakuletea popote ulipo.
Piga simu 0769302206
Tumia lugha ya taifa hili tukufu
ok,,, ntampa mtu maelekezo aende huko kariakoo
Samahani kama hutajali naomba picha niuone ulivyo ili hata siku nikitaka kuununua niwe najua nisije uziwa tofauti